title : RAIS ATANGAZA SERIKALI KUNUNUA KOROSHO ZOTE ZA WAKULIMA
kiungo : RAIS ATANGAZA SERIKALI KUNUNUA KOROSHO ZOTE ZA WAKULIMA
RAIS ATANGAZA SERIKALI KUNUNUA KOROSHO ZOTE ZA WAKULIMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati akitangaza uamuzi wa Serikali kununua korosho zote za wakulima msimu huu kwa bei ya shilingi 3,300 kwa kilo baada ya wanunuzi binafsi kushindwa kutimiza maagizo ya Serikali kwa kuanza kununua kwa kusuasua na kwa bei isiyoridhisha.
uamuzi wa akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuwaapisha Viongozi saba wakiwemo Mawaziri wawili, Naibu Mawaziri wanne, pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala RAIS ATANGAZA SERIKALI KUNUNUA KOROSHO ZOTE ZA WAKULIMA
yaani makala yote RAIS ATANGAZA SERIKALI KUNUNUA KOROSHO ZOTE ZA WAKULIMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS ATANGAZA SERIKALI KUNUNUA KOROSHO ZOTE ZA WAKULIMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/rais-atangaza-serikali-kununua-korosho.html
0 Response to "RAIS ATANGAZA SERIKALI KUNUNUA KOROSHO ZOTE ZA WAKULIMA"
Post a Comment