title : WAZIRI MAHIGA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO
kiungo : WAZIRI MAHIGA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO
WAZIRI MAHIGA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO
Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Augustine Mahiga akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO nchini, Bw.Stephen Bainous Kargbo, Juni 14,2017, katika ukumbi wa Mikutano Wizarani.
Mhe. Waziri Balozi Augustine Mahiga (Katikati), Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO, Bw. Stephen(Kushoto) Bainous Kargbo na kulia ni Balozi Grace Martin, Mkurugenzi Idara ya Itifaki wakiwa katika mazungumzo.
Mhe. Waziri Balozi Mahiga, Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO na Wataalam kutoka Wizarani na Ofisi za UNIDO wakiwa katika picha ya pamoja baada ya makabidhiano ya Hati za Utambulisho..
Hivyo makala WAZIRI MAHIGA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO
yaani makala yote WAZIRI MAHIGA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAHIGA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-mahiga-apokea-hati-za.html
0 Response to "WAZIRI MAHIGA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO"
Post a Comment