DKT. TULIA AKABIDHI TV SITA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE

DKT. TULIA AKABIDHI TV SITA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. TULIA AKABIDHI TV SITA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. TULIA AKABIDHI TV SITA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE
kiungo : DKT. TULIA AKABIDHI TV SITA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE

soma pia


DKT. TULIA AKABIDHI TV SITA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE

 Naibu Spika wa Bunge Mhe.  Dkt.  Tulia Ackson akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Fedha Agnes Kuhenga Televisheni moja kati ya nne zilizotolewa na Taasisi ya Tulia (Tulia Trust Fund) kwa ajili ya watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Jumla ya TV sita zimetolewa na Tulia Trust ambazo zimefungwa  katika wodi na kliniki za watoto.
  Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Delila Kimambo akimweleza  Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt.  Tulia Ackson maendeleo ya afya za pacha walioungana Maria na Consolata waliolazwa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya Matibabu.
 Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt.  Tulia Ackson akiwajulia hali pacha walioungana Maria na Consolata waliolazwa  katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)kwa ajili ya Matibabu.
 Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwajulia hali watoto waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu.  Mhe. Dkt. Tulia kupitia Taasisi ya Tulia (Tulia Trust Fund) ametoa TV sita kwa JKCI ambazo zimefungwa  katika wodi na kliniki za watoto. Picha na JKCI 


Hivyo makala DKT. TULIA AKABIDHI TV SITA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE

yaani makala yote DKT. TULIA AKABIDHI TV SITA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. TULIA AKABIDHI TV SITA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/dkt-tulia-akabidhi-tv-sita-taasisi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DKT. TULIA AKABIDHI TV SITA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE"

Post a Comment