title : Sprite Bball kings 2017 mechi nne za mtoano wikiendi hii
kiungo : Sprite Bball kings 2017 mechi nne za mtoano wikiendi hii
Sprite Bball kings 2017 mechi nne za mtoano wikiendi hii
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
katika viwanja vya Airwing Ukonga Dar es salaam kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni kuzipata timu nne zitakazoingia nane bora.
Mratibu wa Mashindano hayo Basilisa Basike amesema kuwa kutakuwa na mechi nne zitakazochezwa kesho kuanzia saa 2 asubuhi na mechi zingine zitakuwa wikiendi ijayo ili kuzipata timu zingine zitakazoingia katika hatua ya nane bora.
Wikiendi iliyopita, mashindano hayo yalianza kwa timu 52 kuumana katika viwanja vya JMK Park na kupatikana kwa timu 18 ikiwa ni hatua ya pili.
Wikiendi iliyopita, mashindano hayo yalianza kwa timu 52 kuumana katika viwanja vya JMK Park na kupatikana kwa timu 18 ikiwa ni hatua ya pili.
Hivyo makala Sprite Bball kings 2017 mechi nne za mtoano wikiendi hii
yaani makala yote Sprite Bball kings 2017 mechi nne za mtoano wikiendi hii Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sprite Bball kings 2017 mechi nne za mtoano wikiendi hii mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/sprite-bball-kings-2017-mechi-nne-za.html
0 Response to "Sprite Bball kings 2017 mechi nne za mtoano wikiendi hii"
Post a Comment