AWESO AMLILIA RAIS MAGUFULI BARABARA YA TANGA,PANGANI SAADANI

AWESO AMLILIA RAIS MAGUFULI BARABARA YA TANGA,PANGANI SAADANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AWESO AMLILIA RAIS MAGUFULI BARABARA YA TANGA,PANGANI SAADANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AWESO AMLILIA RAIS MAGUFULI BARABARA YA TANGA,PANGANI SAADANI
kiungo : AWESO AMLILIA RAIS MAGUFULI BARABARA YA TANGA,PANGANI SAADANI

soma pia


AWESO AMLILIA RAIS MAGUFULI BARABARA YA TANGA,PANGANI SAADANI

SERIKALI ya awamu ya tano imeombwa kuangalia namna ya kuanza ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani, Saadan hadi Bagamoyo ili kuweza kumaliza kilio cha wananchi wa wilaya ya Pangani cha muda mrefu ikiwemo kufungua fursa za kiuchumi na maendeleo kwa mkoa . 

Ombi hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso wakati akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara wilayani humo ambapo alisema pamoja na kuwepo kwa miradi mingi inayotekelezwa huko lakini kilio kikubwa cha wananchi wake ni ukosefu wa barabara nzuri. 

Aweso ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) alisema wakati Rais Magufuli akiomba kura kwa wananchi hao mwaka 2015 aliwaahidi wananchi ujenzi wa barabara hiyo na walikubali kumpa kura nyingi na imani kubwa kwake kwa mategemeo ya kumpata mkombozi atakae weza kumaliza kero hiyo ambayo imedumu katika awamu zote nne zilizopita bila ya mafanikio. 

“Kwenye mkutano wangu wa leo hii nipo hapa nyumbani kama Mbunge wenu kawaida na sikuja kama Naibu Waziri na jukumu la Mbunge ni kuwasemea wananchi wake Mh Rais wananchi wangu kiukweli wanalia na suala la barabara hii na hawajui hatma yake lini mradi huu utaanza”Alisema Aweso. 

Hata hivyo alisema kuzorota kwa uchumi na maisha magumu kwa wananchi wa wilaya hiyo unachangiwa kwa kiasi kikubwa na tatizo la kutokujengwa barabara ambayo ingesaidia kufungua wilaya hiyo ambayo inaonekana kama imesahaulika katika nyanja zote. 
 NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) akizungumza na wananchi wa Jimbo hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika sokoni mjini Pangani ambako pamoja na mambo mengine aliweza kusikiliza kero zao zinazowakabili
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) akiwa amebebwa juu na wananchi mara baada ya kumaliza kuwahutubia
 NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)kulia akiwa na Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa Abdallah wakifuatilia hoja za wananchi kwenye mkutano huo
sehemu ya wananchi wa mji wa Pangani wakimfuatilia NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)
Wananchi wakimfuatilia NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM).



Hivyo makala AWESO AMLILIA RAIS MAGUFULI BARABARA YA TANGA,PANGANI SAADANI

yaani makala yote AWESO AMLILIA RAIS MAGUFULI BARABARA YA TANGA,PANGANI SAADANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AWESO AMLILIA RAIS MAGUFULI BARABARA YA TANGA,PANGANI SAADANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/aweso-amlilia-rais-magufuli-barabara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AWESO AMLILIA RAIS MAGUFULI BARABARA YA TANGA,PANGANI SAADANI"

Post a Comment