title : RAIS WA ZANZIBAR DK,SHEIN ATUNUKU NISHANI
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK,SHEIN ATUNUKU NISHANI
RAIS WA ZANZIBAR DK,SHEIN ATUNUKU NISHANI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk,Ali Mohammed Shein akimvisha nishani ya Mapinduzi Bwana Aboud Talib Aboud katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk,Ali Mohammed Shein katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi na waliotunukiwa nishani mbalimbali katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (mbele) pamoja na Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya waalikwa waliohudhuria katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.
Baadhi ya Waheshimiwa waliohudhuria katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kulia akipeana mikono na Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Gharib Mohammed Bilal katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK,SHEIN ATUNUKU NISHANI
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK,SHEIN ATUNUKU NISHANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK,SHEIN ATUNUKU NISHANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/rais-wa-zanzibar-dkshein-atunuku-nishani.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK,SHEIN ATUNUKU NISHANI"
Post a Comment