title : MALINZI ,MWESIGWA WARUDISHWA RUMANDE MPAKA JULAI 3
kiungo : MALINZI ,MWESIGWA WARUDISHWA RUMANDE MPAKA JULAI 3
MALINZI ,MWESIGWA WARUDISHWA RUMANDE MPAKA JULAI 3
Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiwa na Katibu wake , Celestine Mwesigwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walisomewa mashtaka yao kadhaa ya matumizi mabaya ya ofisi ikiwe Kugushi nyaraka za shirikisho hilo pamoja na kutakatisha fedha zaidi ya laki tatu za kimarekani.
Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiwa na Katibu wake , Celestine Mwesigwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walisomewa mashtaka ya kadhaa ya matumizi mabaya ya ofisi ikiwa nipamoja na kutakatisha pesa zaidi ya laki tatu za kimarekani. washtakiwa hao wamepelekwa mahabusu Keko kutokana na kesi hiyo kutokuwa na dhamana hivyo wataletwa tena mahakamani mpaka julai 3.
Rais wa Simba ,Evance Aveva na Kaimu wake ,Godfrey Nyange(KABURU) wakiongea na aliyekuwa katibu wa Simba Evodius Mutawala katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walipandishwa kwa mashtaka tofauti ikiwemo la matumizi mabaya ya ofisi.
Hivyo makala MALINZI ,MWESIGWA WARUDISHWA RUMANDE MPAKA JULAI 3
yaani makala yote MALINZI ,MWESIGWA WARUDISHWA RUMANDE MPAKA JULAI 3 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MALINZI ,MWESIGWA WARUDISHWA RUMANDE MPAKA JULAI 3 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/malinzi-mwesigwa-warudishwa-rumande.html
0 Response to "MALINZI ,MWESIGWA WARUDISHWA RUMANDE MPAKA JULAI 3"
Post a Comment