title : RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAISLAMU KUMZIKA PROF.ISHAU
kiungo : RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAISLAMU KUMZIKA PROF.ISHAU
RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAISLAMU KUMZIKA PROF.ISHAU
MwambawahabariRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alijumuika na Waislamu,Viongozi mbali mbali na Wananchi katika kumswalia Marehemu Mzee Prof.Ishau Abdalla Khamis katika Msikiti wa Ijumaa Donge leo,Marehemu aliwahi kushika nyazifa mbali mbali katika Serikalia ya Mapinduzi Zanzibar na Chama cha Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja,(wa pili mkushoto) pamoja na Viongozi wengine wakielekea katika kaburi wakati wa mazishi ya Marehemu Mzee Prof.Ishau Abdalla Khamis yaliyofanyika leo kijiji cha Donge,Wilaya ya Kaskazini BUnguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto waliosimama) alijumuika na Waislamu,Viongozi mbali mbali na Wananchi katika mazishi ya Marehemu Mzee Prof.Ishau Abdalla Khamis katika kijiji cha Donge leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Mzee Prof.Ishau Abdalla Khamis aliyezikwa leo katika kijiji cha Donge,Willaya ya Kaskazini B Unguja,[Picha na Ikulu.]07/06/2017
Hivyo makala RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAISLAMU KUMZIKA PROF.ISHAU
yaani makala yote RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAISLAMU KUMZIKA PROF.ISHAU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAISLAMU KUMZIKA PROF.ISHAU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/rais-dkshein-ajumuika-na-waislamu_7.html
0 Response to "RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAISLAMU KUMZIKA PROF.ISHAU"
Post a Comment