Profesa Mark Mwandosya amlilia Mzee Ndesamburo

Profesa Mark Mwandosya amlilia Mzee Ndesamburo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Profesa Mark Mwandosya amlilia Mzee Ndesamburo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Profesa Mark Mwandosya amlilia Mzee Ndesamburo
kiungo : Profesa Mark Mwandosya amlilia Mzee Ndesamburo

soma pia


Profesa Mark Mwandosya amlilia Mzee Ndesamburo

Mheshimiwa Freeman Mbowe(MB), Mwenyekiti wa Taifa, CHADEMA: 

NIMEPOKEA KWA MASIKITIKO NA HUZUNI KUBWA TAARIFA ZA KIFO CHA MZEE WETU MHESHIMIWA PHILEMON NDESAMBURO. NILIPATA BAHATI KUFANYA KAZI NA MZEE NDESAMBURO TUKIWA WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. 
BINAFSI NILIFAIDIKA SANA NA MAWAZO, HEKIMA, FIKRA, NA USHAURI WAKE KATIKA MASUALA MBALI MBALI YA KIBUNGE NA KITAIFA BILA KUJALI KWAMBA TULIKUWA VYAMA TOFAUTI.
PANDE ZOTE ZA BUNGE ZILIMTAMBUA NA KUMHESHIMU KWA UTULIVU WAKE NA HEKIMA KUBWA KATIKA KUWASILISHA HOJA ZAKE. 


KWA SABABU HIZO HAKIKA AMESAIDIA KATIKA KUJENGA NA KUIMARISHA DEMOKRASIA NCHINI. TAFADHALI TUFIKISHIE SALAAM ZANGU NA FAMILIA YANGU KWA FAMILIA YA MZEE NDESAMBURO NA WANA CHADEMA KWA KUMPOTEZA MUASISI NA MHIMILI WA CHAMA.
 KWA MWENYEZI MUNGU TULITOKA NA HAKIKA SOTE TUTARUDI KWAKE. MWENYEZI MUNGU AIREHEMU ROHO YA MAREHEMU NDESAMBURO. AMEEN.

Mark Mwandosya


Hivyo makala Profesa Mark Mwandosya amlilia Mzee Ndesamburo

yaani makala yote Profesa Mark Mwandosya amlilia Mzee Ndesamburo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Profesa Mark Mwandosya amlilia Mzee Ndesamburo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/profesa-mark-mwandosya-amlilia-mzee.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Profesa Mark Mwandosya amlilia Mzee Ndesamburo"

Post a Comment