SOUDY BROWN APATA DHAMANA MAHAKAMANI, ARUDISHWA KITUO CHA POLISI

SOUDY BROWN APATA DHAMANA MAHAKAMANI, ARUDISHWA KITUO CHA POLISI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SOUDY BROWN APATA DHAMANA MAHAKAMANI, ARUDISHWA KITUO CHA POLISI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SOUDY BROWN APATA DHAMANA MAHAKAMANI, ARUDISHWA KITUO CHA POLISI
kiungo : SOUDY BROWN APATA DHAMANA MAHAKAMANI, ARUDISHWA KITUO CHA POLISI

soma pia


SOUDY BROWN APATA DHAMANA MAHAKAMANI, ARUDISHWA KITUO CHA POLISI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.
MTANGAZAJI wa Clouds,  Soudy Peter  Kadio 'Brown' amepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kutumia maudhui mtandaoni bila ya kuwa na kibali.

Akisomewa mashtaka na Wakili wa serikali Mkuu Faraja Nguka kwa kusaidiana na wakili Estazia Wilson amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustino Rwizile, kuwa kati ya June 11 na September, 2018 ndani ya Dar es Salaam kwa kutumia online Tv inayojulikana kwa jina la Shilawadu Tv mshtakiwa, alitoa maudhui katika mtandao huo bila ya kuwa na kibali kutoka (TCRA).

Hata hivyo, mshtakiwa Soudy Brown baada ya kusomewa shtaka hilo amekana na upande wa mashtaka umedai kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika.

Wakili Peter Kibatala anayemtetea mshtakiwa huyo aliomba mteja wake apewe dhamana kwa sababu shtaka linalomkabili linadhaminika.

Akitoa masharti ya dhamana, Hakimu Rwizile amemtaka mshtakiwa kuwa na mdhamini mmoja ambaye atasaini bondi ya Sh.Milioni 2, pia mshtakiwa mwenyewe naye asaini bondi ya Sh.Milioni 2.

Mshtakiwa huyo alifanikiwa kukamilisha masharti hayo ya dhamana na kuachiwa. Kwa mujibu wa upande wa mashtka, wa mashtaka upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika na kesi hiyo imeahirishwa hadi October 18, 2018.


Hivyo makala SOUDY BROWN APATA DHAMANA MAHAKAMANI, ARUDISHWA KITUO CHA POLISI

yaani makala yote SOUDY BROWN APATA DHAMANA MAHAKAMANI, ARUDISHWA KITUO CHA POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SOUDY BROWN APATA DHAMANA MAHAKAMANI, ARUDISHWA KITUO CHA POLISI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/soudy-brown-apata-dhamana-mahakamani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SOUDY BROWN APATA DHAMANA MAHAKAMANI, ARUDISHWA KITUO CHA POLISI"

Post a Comment