title : KONGAMANO LA MANUNUZI LA MWAKA LINALOENDESHWA NA PPRA MJINI ARUSHA
kiungo : KONGAMANO LA MANUNUZI LA MWAKA LINALOENDESHWA NA PPRA MJINI ARUSHA
KONGAMANO LA MANUNUZI LA MWAKA LINALOENDESHWA NA PPRA MJINI ARUSHA
Mkuu wa kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi wa LAPF Bw. Emmanuel Mayage akichangia hoja katika moja ya mijadala inayoendelea kwenye Kongamano la Manunuzi la Mwaka, 2017 linaloendeshwa na PPRA mjini Arusha kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi wiki hii.
Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA Dkt. Laurent Shirima akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA Balozi Dkt. Matern Lumbanga akitoa hotuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada zilizokuwa zinawasilishwa kwenye Kongamano hilo.
Picha ya pamoja ya washiriki wa Kongamano hilo.
Hivyo makala KONGAMANO LA MANUNUZI LA MWAKA LINALOENDESHWA NA PPRA MJINI ARUSHA
yaani makala yote KONGAMANO LA MANUNUZI LA MWAKA LINALOENDESHWA NA PPRA MJINI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KONGAMANO LA MANUNUZI LA MWAKA LINALOENDESHWA NA PPRA MJINI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/kongamano-la-manunuzi-la-mwaka.html
0 Response to "KONGAMANO LA MANUNUZI LA MWAKA LINALOENDESHWA NA PPRA MJINI ARUSHA"
Post a Comment