MultiChoiceYawekeza Kukuza Tasnia ya Filamu Afrika

MultiChoiceYawekeza Kukuza Tasnia ya Filamu Afrika - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MultiChoiceYawekeza Kukuza Tasnia ya Filamu Afrika, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MultiChoiceYawekeza Kukuza Tasnia ya Filamu Afrika
kiungo : MultiChoiceYawekeza Kukuza Tasnia ya Filamu Afrika

soma pia


MultiChoiceYawekeza Kukuza Tasnia ya Filamu Afrika



Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson (katikati), Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harison Mwakyembe (Kulia) na Mkurugenzi wa MultiChoice Africa Kanda ya Afrika Mashariki na Magharibi.,Maharage Chande wakishuhudiauzinduzirasmi wa programu ya‘MultiChoice Talent Factory’ inayotoafursakwavijanawenyekipajikatikatasniayafilamukujiunganakituomaalum cha mafunzoyafanihiyokwamuda wa mwakamzimakwaudhamini wa MultiChoiceAfrika. Uzinduzihuoulifanyikajijini Dodoma





Na Mwandishi Wetu, Dodoma


MultiChoiceAfrica,Imezindua rasmiprogram kubwayakijamiiinayolengakuletamapinduzimakubwakatikatasniayafilamuhapa Tanzania nabaraniAfrikakwaujumla.


Program hiyoijulikanayokamaMultiChoice Talent Factory (MTF) –inalengakuchocheaubunifu wa vijana wa Afrikakatikatasniayafilamunaimeandaavyuomaalumvitatuambavyovitatoamafunzomaalumyautengenezaji wa filamukwavijanakutokanchimbalimbalikotebaraniAfrika.


“Maendeleoyanchiyetukwamudamrefuyamekuwayakitambuliwakwauwekezajikatikamaliasilinyingitulizonazokama vile madini, kilimo, mifugo, wanyamapori, nakadhalikahukusektayaubunifuikiwahaijapewakipaumbelekikubwanahivyosektayasanaanaubunifukuwanamchangomdogokatikaukuaji wa uchumiwetu.


Ili kuhakikishakuwatunasaidiananaserikalikatikamkakati wake wa kuifanyasektayaubunifunasanaakuwamojayamihimiliyauchumiwetu, MultiChoiceimeanzisha program hiinatumeanzanasektayafilamu” alisema Maharage Chande, Mkurugenzi wa MultiChoicekandayaAfrikaMasharikinaMagharibi.


Tumebarikiwakwavipajivingikatikafanimbalimbalinabilashakatukiwekezakatikavipajivyavijanawetubilashakatutafanikiwakupanuawigo wa ajiranauchumiwetunahivyokuchangiakwakiasikikubwaukuaji wa uchumi wa nchiyetu






Mkurugenzi wa MultiChoice Africa Kanda yaAfrikaMasharikinaMagharibi Maharage Chande akizungumzawakati wa uzinduzirasmi wa programuya ‘MultiChoice Talent Factory’ inayotoafursakwavijanawenyekipajikatikatasniayafilamukujiunganakituomaalum cha mafunzoyafanihiyokwamuda wa mwakamzimakwaudhamini wa MultiChoiceAfrika. Uzinduzihuoulifanyikajijini Dodoma





AmesemaProgrammu hiyo itakayoanza rasmi mwezi Oktobamwakahuuitawawezeshavijana
wanne
kutoka Tanzania kuungananavijanawenginekutokanchimbalimbalizaAfrikakatikavyuomaalumvyamafunzoyautengenezaji wa filamambavyovitakuwanchini Nigeria, Kenya na Zambia.
Kwaupande wake, Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa naMichezo Dr. HarisonMwakyembeamesema program hiyoitakuwachachukubwakatikakuletamapinduzikwenyetasniayafilamuhapanchinikwanivijanawatakaopatikanambalinakwambawatakuwanauwezo wa haliyajuu wa kutengenezafilamu, palipiawatakuwakamawaalimu wa wezaoambaowanavipajikatikatasniahiyo.



“NimefurahisanakusikiakuwaMultiChoicewanapangakuendeleanampangohuukwamudamrefukwahiyojapokuwatunaazakwakupelekawanafunziwanne, badotunaaminihuunimwanzomzurisana. Cha msingi kwanza siyoididiyawanafunzi, baliniumuhimu wa chuohichonakiwango cha mafuzokitakachotolewa. Tunaaminikwamwakahuu wa kwanza vijanahaowakikamilishamafuzoyaonawakirudinyumbaniwatakuwachachukubwakatikakukuzanakuimarishatasniayafilamuhapanchini”
PiaametoaraikwaMultiChoicekushirikianakwakaribunawizarayaElimunaMafunzoyaUfundinapiavyouvyetuambavyovinatoaelimuyasanaayafilamuilikuhakikishakuwawanabadilishanaujuzinauzoefunapiaikiwezekanakuwanamiradiyapamojayamudamrefunamfupinahivyokuwafikiavijanawengizaidinakuwezakutimizalengokuu la kuifanyafaniyafilamukuwamojayanguzozauchumi wa nchihii.
Program hiyoinaanzarasmikwakupokeamaombiyawashirikiambayoyatapokewakwanjiayamtandao
Kwaufupi;
·
Mkurugenzi wa MultiChoice Africa Kanda yaAfrikaMasharikinaMagharibi Maharage Chande akimkaribisha Naibu Spika wa Bunge la JamhuriyaMuungano wa Tanzania Dk. Tulia Acksonkatikahaflayauzinduzirasmi wa programuya ‘MultiChoice Talent Factory’ inayotoafursakwavijanawenyekipajikatikatasniayafilamukujiunganakituomaalum cha mafunzoyafanihiyokwamuda wa mwakamzimakwaudhamini wa MultiChoiceAfrika. Uzinduzihuoulifanyikajijini Dodoma jana.





Programu hii inamruhusu mtanzania anayekidhi vigezo kuingia kwenye mashindano ya kupata washindi wanne ambao watadhaminiwa kwa mwaka mmoja kwa mafunzo yote yahusuyo utengenezaji filamu.

· Maelezo zaidi yanapatikana kwenye tovuti ya www.multichoicetalentfactory.com
· Vilevile kutakuwa na namba maalum ambayo inapatikana kuanzia tarehe 1 June 2018.
· Wanaotaka kushiriki wanaweza kuanza kuwasilisha maombi yao kuanzia sasa na mwisho ni tarehe 4 July 2018.


· Hakuna gharama za kushiriki kwenye mashindano
· Mafuzo rasmi kuanza mwezi wa Oktoba 2018, jijini Nairobi, Kenya
· Washindi watako chaguliwa watakuwa wanne (4).


· Gharama zote zitalipiwa na Multichoice kwa kipindi cha mwaka mmoja
Jiungenaulingo wa MTF Mitandaonikwa #multichoicetalentfactorykishafuata au jiungekwa:
· Instagram: @multichoicetalentfactory;
· Twitter: @MCTalentFactory
· Facebook: @multichoiceafricatalentfactory




KwaMaelezozaidiwasilianana;
Johnson Mshana
MkuuwaMawasiliano Johnson.Mshana@tz.multichoice.com


Hivyo makala MultiChoiceYawekeza Kukuza Tasnia ya Filamu Afrika

yaani makala yote MultiChoiceYawekeza Kukuza Tasnia ya Filamu Afrika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MultiChoiceYawekeza Kukuza Tasnia ya Filamu Afrika mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/multichoiceyawekeza-kukuza-tasnia-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MultiChoiceYawekeza Kukuza Tasnia ya Filamu Afrika"

Post a Comment