title : NOAH NA BAJAJ ZAGONGANA KATIKATI YA BARABARA YA MWENDO KASI
kiungo : NOAH NA BAJAJ ZAGONGANA KATIKATI YA BARABARA YA MWENDO KASI
NOAH NA BAJAJ ZAGONGANA KATIKATI YA BARABARA YA MWENDO KASI
Basi la Mwendo kasi likilazimika kupita upande mwingine wa barabara yake baada ya gari ndogo aina ya Toyota Noah kugongana na Bajaj katika ya barabara hiyo eneo la Kinondoni kwa Mwanambona jijini Dar es salaam. Tukio hilo limetokea mchana wa leo, huku ikielezwa kuwa chanzo ni Bajaj hiyo iliyokuwa ikitokea njia ya Kinondoni Makaburini na kutaka kukatisha ghafla kuelekea upande wa Morocco.
Wakati mwendo kasi likiendelea kutaabika kupita, mwenye Noah na Mwenye Bajaj wakiendelea kupatana juu ya nini cha kufanya.
Hivyo makala NOAH NA BAJAJ ZAGONGANA KATIKATI YA BARABARA YA MWENDO KASI
yaani makala yote NOAH NA BAJAJ ZAGONGANA KATIKATI YA BARABARA YA MWENDO KASI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NOAH NA BAJAJ ZAGONGANA KATIKATI YA BARABARA YA MWENDO KASI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/noah-na-bajaj-zagongana-katikati-ya.html
0 Response to "NOAH NA BAJAJ ZAGONGANA KATIKATI YA BARABARA YA MWENDO KASI"
Post a Comment