title : WACHEZAJI WA SIMBA WAPEWA MAJUKUMU MAZITO KUIMALIZA NKANA FC TAIFA
kiungo : WACHEZAJI WA SIMBA WAPEWA MAJUKUMU MAZITO KUIMALIZA NKANA FC TAIFA
WACHEZAJI WA SIMBA WAPEWA MAJUKUMU MAZITO KUIMALIZA NKANA FC TAIFA
Simba watacheza na Nkana FC katika uwanja wa Taifa jumapili wakitakiwa kushinda bao 1-0 baada ya kukubali kufungwa bao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Zambia.
"Tulikubali kupoteza mchezo wa kwanza ugenini baada ya kushindwa kupata matokeo mazuri, wapinzani wetu walishinda kwa kutumia makosa yetu nasi pia tunapaswa tushinde mchezo wetu wa marudio.
"Wachezaji wetu wapo vizuri hasa ndani ya uwanja ila walifanya makosa ambayo wapinzani wetu waliyatumia, kazi yetu ni moja kupata matokeo ili tusonge mbele katika hatua inayofuata," alisema
Hivyo makala WACHEZAJI WA SIMBA WAPEWA MAJUKUMU MAZITO KUIMALIZA NKANA FC TAIFA
yaani makala yote WACHEZAJI WA SIMBA WAPEWA MAJUKUMU MAZITO KUIMALIZA NKANA FC TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WACHEZAJI WA SIMBA WAPEWA MAJUKUMU MAZITO KUIMALIZA NKANA FC TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/wachezaji-wa-simba-wapewa-majukumu.html
0 Response to "WACHEZAJI WA SIMBA WAPEWA MAJUKUMU MAZITO KUIMALIZA NKANA FC TAIFA"
Post a Comment