title : BIASHARA YA KUBEBA MKAA KWA NJIA YA BAISKELI YASHAMIRI CHANIKA
kiungo : BIASHARA YA KUBEBA MKAA KWA NJIA YA BAISKELI YASHAMIRI CHANIKA
BIASHARA YA KUBEBA MKAA KWA NJIA YA BAISKELI YASHAMIRI CHANIKA
Mfanyabiashara ya Mkaa akipandisha na Baiskeli iliyobeba mkaa katika eneo la pugu Sekondari akitokea maeneo ya Chanika akifata soko eneo la Gongolamboto Dar es Salaam.
Mfanyabiashara ya Mkaa akipandisha eneo la Kigogo Fresh Pugu akitokea Chanika na kufata masoko katika eneo la Gongo la Mboto, mchuuzi huyo hutembea zaidi ya kilometa kumi kutokea katika maeneo ya misitu hadi kufika mjini akiwa na mzigo huo
Mfanyabiashara ya Mkaa akivuta pumzi katika eneo la Chanika baada ya kutembea kwa muda mrefu akifuata soko katika eneo la Gongo la mboto Jijini Dar es Salaam
Baiskeli zikiwa zimepiga kambi katika kituo chao eneo la Kigogo Fresh nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam
Hivyo makala BIASHARA YA KUBEBA MKAA KWA NJIA YA BAISKELI YASHAMIRI CHANIKA
yaani makala yote BIASHARA YA KUBEBA MKAA KWA NJIA YA BAISKELI YASHAMIRI CHANIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BIASHARA YA KUBEBA MKAA KWA NJIA YA BAISKELI YASHAMIRI CHANIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/biashara-ya-kubeba-mkaa-kwa-njia-ya.html
0 Response to "BIASHARA YA KUBEBA MKAA KWA NJIA YA BAISKELI YASHAMIRI CHANIKA"
Post a Comment