title : Mvua haijazuia kompyuta za Bayport kusambazwa mikoani
kiungo : Mvua haijazuia kompyuta za Bayport kusambazwa mikoani
Mvua haijazuia kompyuta za Bayport kusambazwa mikoani
Mratibu wa Masoko wa Bayport Financial Services, Mercy Mgongolwa akimkabidhi kompyuta mbili Kaimu Mkurugenzi wa Mbulu, mkoani Manyara, Deogratias Kashasha.
Na Mwandishi Wetu, Mbulu
KWA miezi kadhaa sasa mvua imeendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, hali inayoonyesha kukidhi kiu ya watu wengi waliokuwa wakiiomba inyeshe katika maeneo yao.
Hata hivyo, licha ya mvua hiyo kunyesha, lakini baadhi ya maeneo imekuwa na matokeo mabaya kutokana na kuezua nyumba, kuharibu miundo mbinu muhimu ikiwamo ya barabara.
Matokeo hayo yameibua changamoto mpya hususan za kufikika kwa urahisi katika maeneo hayo yanayoendelea kukumbwa na mvua kubwa. Mbali na mvua hiyo kunyesha, hata hivyo uwajibikaji unaendelea kufanyika kwa sekta na watu mbalimbali kuendelea na maisha yao ya kila siku ili wakuze uchumi.
Zoezi la kutoa msaada wa kompyuta lilivyokuwa linaendelea katika mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Licha ya maeneo mengi kukumbwa na mvua, lakini Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services imeendelea na usambazaji wa kompyuta katika ofisi za serikali mikoani kama ilivyozindua utaratibu huo mwishoni mwa mwaka jana.
Hivyo makala Mvua haijazuia kompyuta za Bayport kusambazwa mikoani
yaani makala yote Mvua haijazuia kompyuta za Bayport kusambazwa mikoani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mvua haijazuia kompyuta za Bayport kusambazwa mikoani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mvua-haijazuia-kompyuta-za-bayport.html
0 Response to "Mvua haijazuia kompyuta za Bayport kusambazwa mikoani"
Post a Comment