title : Mjumbe wa Baraza la Maulamaa Zanzibar ahimiza taaluma ya ndoa kunusuru wimbi la kuvunjika kwa ndoa
kiungo : Mjumbe wa Baraza la Maulamaa Zanzibar ahimiza taaluma ya ndoa kunusuru wimbi la kuvunjika kwa ndoa
Mjumbe wa Baraza la Maulamaa Zanzibar ahimiza taaluma ya ndoa kunusuru wimbi la kuvunjika kwa ndoa
Na Salmin Juma, Pemba
Mjumbe wa Baraza la Maulamaa Zanzibar Mkoa wa Kusini Pemba Sheikh Ali Abdala Awess amewataka Masheikh na Wazazi kuelimisha Vijana suala la Ndoa ili kunusuru Wimbi la kuvunjika Ndoa nyingi mapema.
Amesema wakati huu ndoa nyingi za vijana zinavunjika mapema na kusababisha idadi kubwa ya Wajane na Watoto wasio na malezi bora kutokana na kukosekana kwa Taaluma ya Ndoa kabla .
Sheikh Awess ameyasema hayo jana Kwenyeskiti wa Ijumaa Mtambile alipokua akizungumza na Waislam mara baada ya Swala ya Ijumaa.
Amesema Taaluma ya Mapema kwa Wanandoa ni njia pekee itakayowafanya waishi ndani ya Ndoa yao kwa Mafanikio.
Wakati huo huo Mjumbe huyo wa Baraza la Maulamaa ameelezea kusikitishwa na Tabia iliyojitokeza kwa baadhi ya Misikiti kuisali Sala ya Ijumaa nje ya wakati wake.
Amesema imejitokeza baadhi ya Miskiti inasali Sala hiyo nyakati za saa tano kitendo ambacho hakifai na kiachwe ili kulinda nyakati za sala
Hivyo makala Mjumbe wa Baraza la Maulamaa Zanzibar ahimiza taaluma ya ndoa kunusuru wimbi la kuvunjika kwa ndoa
yaani makala yote Mjumbe wa Baraza la Maulamaa Zanzibar ahimiza taaluma ya ndoa kunusuru wimbi la kuvunjika kwa ndoa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mjumbe wa Baraza la Maulamaa Zanzibar ahimiza taaluma ya ndoa kunusuru wimbi la kuvunjika kwa ndoa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mjumbe-wa-baraza-la-maulamaa-zanzibar.html
0 Response to "Mjumbe wa Baraza la Maulamaa Zanzibar ahimiza taaluma ya ndoa kunusuru wimbi la kuvunjika kwa ndoa"
Post a Comment