title : MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONESHO YA SABNASABA
kiungo : MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONESHO YA SABNASABA
MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONESHO YA SABNASABA
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akizungumza alipotembelea banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF na kuwapongeza NSSF kwa ushindi wa Jumla alipotembelea Banda la NSSF katika maonyesho ya Sabasaba , pembeni ni baadhi ya wafanyakazi wa NSSF. Picha na Mwandishi wetu. Picha na Mwandishi wetu
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akipata maelezo mbalimbali kuhusu huduma za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutoka kwa Kaimu meneja wa Uhusiano na Masoko Ndugu Salim Khalfan alipotembelea Banda la NSSF katika maonyesho ya Sabasaba .Picha na Mwandishi wetu
Afisa Uhusiano wa NSSF Bi. Angella Msangi akimkabidhi zawadi za vitabu na vipeperushi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo alipotembelea banda la NSSF katika maonyesho yanayoendelea ya sabasaba. Picha na Mwandishi wetu
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akifurahia jambo na Kaimu Meneja uhusiano na Masoko wa NSSF Ndugu Salim Khalfan alipotembelea banda la NSSF katika maonyesho yanayoendelea ya sabasaba. Picha na Mwandishi wetu. Picha na Mwandishi wetu
Hivyo makala MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONESHO YA SABNASABA
yaani makala yote MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONESHO YA SABNASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONESHO YA SABNASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mkuu-wa-majeshi-ya-ulinzi-jenerali.html
0 Response to "MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONESHO YA SABNASABA"
Post a Comment