title : MANISPAA YA ILALA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
kiungo : MANISPAA YA ILALA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
MANISPAA YA ILALA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
MWAMBAWAHABARI
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na watumishi wa Manispaa ya Ilala pamoja na wananchi wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma yalifanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam, ambapo maadhimisho hayo yalienda sambamba kwakusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.
Watumishi wa Manispaa ya Ilala wakiwa katika maadhimisho hayo.
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na Vijana Bi. Francisca Makoye (kushoto) akimuelezea Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema huduma zinazotolewa na idara hiyo alipotembelea banda hilo wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa yalifanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimsikiliza Mwanasheria kutoka ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya ilala Bw. Micadadi Michaeli akimuelezea huduma wanazotoa kuhusina na miradhi.
Diwani wa Kata ya Kivukoni, Henry Massaba (mwenye kofia) Ofisa Tawala wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo wakifuatilia jambo kwenye karatasi.
Hivyo makala MANISPAA YA ILALA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
yaani makala yote MANISPAA YA ILALA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MANISPAA YA ILALA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/manispaa-ya-ilala-yaadhimisha-wiki-ya.html
0 Response to "MANISPAA YA ILALA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA"
Post a Comment