title : WAZIRI MKUU MAJALIWA ;SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIFUMO YA ELIMU KWA WATU WOTE
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA ;SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIFUMO YA ELIMU KWA WATU WOTE
WAZIRI MKUU MAJALIWA ;SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIFUMO YA ELIMU KWA WATU WOTE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Vifaa vya kufundishia kwa watoto wenye mahitaji maalum katika shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko Ilala jijini Dar es Salaam.
Na Humphrey
Shao, Globu ya Jamii
Shao, Globu ya Jamii
Waziri mkuu
wa Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imejipanga kuboresha Elimu nchini kwa
kuongeza bajeti ikiwemo ununuzi wa vifaa na walimu katika shule zenye mahitaji
maalum.
wa Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imejipanga kuboresha Elimu nchini kwa
kuongeza bajeti ikiwemo ununuzi wa vifaa na walimu katika shule zenye mahitaji
maalum.
Waziri Mkuu
Majaliwa amesema hayo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizindua na kukabidhi
vifaa vya elimu vya kufundishia kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum nchini
vyenye thamani ya bilioni sita kutoka shirika la Global Partner ship.

“Vifaa hivi
vitakwenda katika mikoa yote 26 nchini kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji
maalum ambapo itanufaisha shule za Msingi 213 kati ya shule 408 na sekondari 22
kati ya shule 43 zenye wanafunzi wenye mahitaji maalum” amesema Waziri Mkuu
Majaliwa .

Amesema kuwa
pia serikali imenunua vifaa vya kufundishia kwa walimu wanaofundisha watoto
wenye mahitaji maalum ikiwa ni kielelezo cha kutimiza ahadi za Rais John Pombe Magufuli
kuhakikisha kuwa kila mtoto anapata elimu bila ya kujali mapungufu yake.

Amesema mapungufu
ya kimwili kiakili sio mwisho wa kufikia malengo kwa watoto wetu kwani bado
wapo watumishi serikalini ambao wanamahitaji maalum na bado wanafanya vizuri
katika kazi zao.
ya kimwili kiakili sio mwisho wa kufikia malengo kwa watoto wetu kwani bado
wapo watumishi serikalini ambao wanamahitaji maalum na bado wanafanya vizuri
katika kazi zao.
Waziri mkuu
Majaliwa amesema serikali itaendelea kuboresha maslahi ya walimu na kutoa
mafunzo ya kitaaluma hili waweze kuendana na mabadiliko ya mitaala nchini.
Majaliwa amesema serikali itaendelea kuboresha maslahi ya walimu na kutoa
mafunzo ya kitaaluma hili waweze kuendana na mabadiliko ya mitaala nchini.
Wizara
iakikishe inasimamia na kuwachukulia hatua
wazazi wote ambao wanaficha watoto wenye mahitaji maalumu na kushindwa
kwenda shule na kumuagiza waziri wa tamisemi atoe waraka katika Halmashauri
ziweze kuwahudumia watotoambao wapo kwenye shule za kawaida hili waweze
kupatiwa vifaa.

Ametoa wito
kwa watoto Wazazi na walimu kuwa na nidhamu ya hali ya juu hili kuleta
umaana wa vifaa hivi.
kwa watoto Wazazi na walimu kuwa na nidhamu ya hali ya juu hili kuleta
umaana wa vifaa hivi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na viongozi wengine waandamizi wa serikali na wawakilishi wa mashirika yaliyofafadhili vifaa hivyo wakikata utempe kuashiria uzinduzi wa vifaa vya watoto wenye mahitaji Maalum
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia namna vifaa hivyo vinavyofanya kazi kwa mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko
Waziri Mkuu Kassim majaliwa akipunga mkono kuwasalimia watu waliofika katika shrehe hizo za uzinduzi wa vifaa vya kufundishia kwa wanafunzi wenye mahitaji Maalum.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akitoa Salaam za Mkoa wa Dar es Salaam akimwakilisha RC .Paul Makonda katika hafla hiyo ya uzinduzi wa vifa avya kufundishia kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum
Waziri Mkuu Kassim majaliwa akisalimiana na Naibu Meya wa Ilala , Omary Kumbilamotowakati akiwasili katika shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko
Waziri Mkuu Kassim majaliwa akisalimiana na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam ,Saad Kusirawe wakati akiwasili katika shule ya Msingi uhuru Mchanganyiko
Wanafunzi wa shule ya Msingi umoja wakitoa burudani ya Makirikiri
Wanafunzi wa uhuru Mchanganyiko wakitoa burudani mbele ya waziri mkuuu
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA ;SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIFUMO YA ELIMU KWA WATU WOTE
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA ;SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIFUMO YA ELIMU KWA WATU WOTE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA ;SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIFUMO YA ELIMU KWA WATU WOTE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-mkuu-majaliwa-serikali.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA ;SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIFUMO YA ELIMU KWA WATU WOTE"
Post a Comment