title : WORLD MERIT TANZANIA YAJIPANGA KUMRUDISHA RAIS TRUMP KATIKA MABADILIKO YA TABIA NCHI
kiungo : WORLD MERIT TANZANIA YAJIPANGA KUMRUDISHA RAIS TRUMP KATIKA MABADILIKO YA TABIA NCHI
WORLD MERIT TANZANIA YAJIPANGA KUMRUDISHA RAIS TRUMP KATIKA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Mwambawahabari
Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akimpongeza Kiongozi wa World Merit Tanzania , Rose Mmbaga katika siku ya kilele cha Mazingira Duniani yaliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Na Humphrey
Shao, Globu ya Jamii
Na Humphrey
Shao, Globu ya Jamii
Tasisi isiyo
ya Kiserikali inayojiusisha na utunzaji wa Mazingira nchini ya Word Merit
Tanzania imesema ipo katika kampeni
maalum ya kuhakikisha kuwa Rais wa Marekani Donald Trump anatambua uwepo wa
mabadiliko ya tabia nchi Duniani kwa kuanzisha kampeni ya GREEN TRUMP.

Hayo
yamesemwa kiongozi wa shirika hilo nchini Tanzania , Rose Mmbaga alipokuwa
akizungumza na Ripota wa globu ya Jamii wakati wakufunga siku ya Mazingira
Duniani iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam jana.

“kwa sasa
tumeamua kuwa na kampeni moja ambayo inakwenda kwa jina la ‘GREEN TRUMP’ Ambayo
itawakutanisha vijana wanaojitolea kwa kupanda miti nchi nzima hili waweze
kumuaminisha Rais wa Marekani kuwa mapinduzi ya kijani yanawezekana licha ya kiongozi huyu kujitoa katika ule
mkataba wa Paris” amesema Mmbaga.

Ameongeza kuwa
yeye kama kiongozi kijana ameamua kujikita katika kuhamasisha swala la
mazingira hili aweze kusaidia vijana wengine kuingia katika mapambano haya hili
nchi yetu iweze kujikinga na majanga mbalimbali.

Amesema kuwa
mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa yakileta majanga mengi sana nchini ikiwemo suala
kurudisha maendeleo nyuma kwa kuharibu miundombinu ambayo imejengwa kwa gharama
kubwa kutoka katika fedha za watanzania.

Alimaliza kwa
kusema kuwa ufike wakati wa Vijana sasa kutambua na kuheshimu mazingira hili
yaweze kututunza kwa ajili ya kizazi chetu cha baadae.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akiwa katika picha yapamoja na Vijana wa World Merit Tanzania ambao wamejitolea kutunza Mazingira nchini
Hivyo makala WORLD MERIT TANZANIA YAJIPANGA KUMRUDISHA RAIS TRUMP KATIKA MABADILIKO YA TABIA NCHI
yaani makala yote WORLD MERIT TANZANIA YAJIPANGA KUMRUDISHA RAIS TRUMP KATIKA MABADILIKO YA TABIA NCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WORLD MERIT TANZANIA YAJIPANGA KUMRUDISHA RAIS TRUMP KATIKA MABADILIKO YA TABIA NCHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/world-merit-tanzania-yajipanga.html
0 Response to "WORLD MERIT TANZANIA YAJIPANGA KUMRUDISHA RAIS TRUMP KATIKA MABADILIKO YA TABIA NCHI"
Post a Comment