title : MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017 JIJI LA MBEYA
kiungo : MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017 JIJI LA MBEYA
MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017 JIJI LA MBEYA
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi.Susan Mlawi akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi kwa viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya alipofanya ziara ofisini hapo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma 2017.
Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri kazi Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw.Micky Kiliba,akitoa ufafanuzi kuhusu ujazaji wa fomu za OPRAS zinazopima utendaji kazi wa mtumishi.
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Bw. Musa Mapunda (wa pili kutoka kushoto) akieleza majukumu ya jiji hilo wakati wa kikao kati ya viongozi wa Jiji hilo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi.Susan Mlawi (kulia) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Kaimu Katibu Tawala wa Jiji la Mbeya Bw.Nyasembwa Sivangu akisoma taarifa ya Jiji la Mbeya wakati wa kikao kati ya viongozi wa Jiji hilo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi.Susan Mlawi (wa pili kutoka kulia) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. Kulia ni Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri kazi Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw.Micky Kiliba.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017 JIJI LA MBEYA
yaani makala yote MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017 JIJI LA MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017 JIJI LA MBEYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/maadhimisho-ya-wiki-ya-utumishi-wa-umma_16.html
0 Response to "MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017 JIJI LA MBEYA"
Post a Comment