title : KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAS AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI -KITUO CHA DAR ES SALAAM
kiungo : KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAS AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI -KITUO CHA DAR ES SALAAM
KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAS AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI -KITUO CHA DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala Ofisi ya Makamu wa Rais, Samuel Mwashamba akimkaribisha Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais ili azungumze na Watumishi wa Ofisi ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustin Kamuzora (katikati) akiongea wakati wa mkutano wake na Watumishi wa Ofisi yake walioko Dar Es Salaam, ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.
Mmoja wa Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Aidan Mtuhi akichangia maoni yake wakati wa Mkutano huo.
Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais waliohudhuria Mkutano huo wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (hayupo pichani).
Hivyo makala KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAS AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI -KITUO CHA DAR ES SALAAM
yaani makala yote KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAS AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI -KITUO CHA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAS AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI -KITUO CHA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/katibu-mkuu-ofisi-ya-makamu-wa-ras.html
0 Response to "KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAS AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI -KITUO CHA DAR ES SALAAM"
Post a Comment