title : Kampuni ya Tigo Yaadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika kwa kushirikiana na wadau kwenye viwanja vya JKY Park Jijini Dar Es Salaam
kiungo : Kampuni ya Tigo Yaadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika kwa kushirikiana na wadau kwenye viwanja vya JKY Park Jijini Dar Es Salaam
Kampuni ya Tigo Yaadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika kwa kushirikiana na wadau kwenye viwanja vya JKY Park Jijini Dar Es Salaam
Meneja mauzo na masoko wa taasisi ya Shule Direct Shaweji Steven (kushoto) akimuonesha Meneja Mawasiliano ya Umma kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Woinde Shisael (kulia) kifaa cha kusoma vitabu kwa njia ya mtandao kwa ajili ya wanafunzi wa elimu ya sekondari wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam mapema leo. |
Watoto mbalimbali waliofika kwenye maadhimisho maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam mapema leo. |
Watoto wakiwa katika picha ya pamoja katika maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam mapema jana. |
Hivyo makala Kampuni ya Tigo Yaadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika kwa kushirikiana na wadau kwenye viwanja vya JKY Park Jijini Dar Es Salaam
yaani makala yote Kampuni ya Tigo Yaadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika kwa kushirikiana na wadau kwenye viwanja vya JKY Park Jijini Dar Es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kampuni ya Tigo Yaadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika kwa kushirikiana na wadau kwenye viwanja vya JKY Park Jijini Dar Es Salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/kampuni-ya-tigo-yaadhimisha-siku-ya.html
0 Response to "Kampuni ya Tigo Yaadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika kwa kushirikiana na wadau kwenye viwanja vya JKY Park Jijini Dar Es Salaam"
Post a Comment