Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma

Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma
kiungo : Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma

soma pia


Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma


DM1
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala pamoja na Mke wake wakiwasili katika Hotel ya Hyatty  Kilimanjaro alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) leo Jijini Dar es Salaam.
DM2
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akisalimiana na Mkuu wa Idara ya Huduma Binafsi wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Bw. Julius Ngonyani  alipowasili katika Hotel ya Hyatty  Regency, Kilimanjaro alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki hiyo Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA Tanzania, Gift Shoko.
DM3
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika katika Hotel ya Hyatty Regency, Kilimanjaro leo Jijini Dar es Salaam.
DM4
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala pamoja na Mke wake wakipata huduma ya chakula alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) leo Jijini Dar es Salaam.
DM5
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kamal Steel, Bw. Gupta (kushoto) walipokutana katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika katika Hotel ya Hyatty Regency, Kilimanjaro leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA Tanzania, Gift Shoko.
DM6
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akiteta jambo na mmoja wa wadau wa Benki ya Biashara Afrika (CBA) wakati wa hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki hiyo Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika katika Hotel ya Hyatty Regency, Kilimanjaro leo Jijini Dar es Salaam.
DM7
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya menejimenti ya Benki ya CBA mara baada ya kumaliza hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA Tanzania, Gift Shoko.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO


Hivyo makala Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma

yaani makala yote Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/dkt-kigwangala-azishauri-taasisi-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma"

Post a Comment