title : Habari : Waandishi Wapewa Semina
kiungo : Habari : Waandishi Wapewa Semina
Habari : Waandishi Wapewa Semina
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marina Joel Thomas akifungua mafunzo ya waandishi wa habari juu ya maradhi ya kipindupindu yaliyoandaliwa na Idara ya Kinga katika Ukumbi wa RCH Kidongochekundu Mjini Zanzibar.
Afisa Afya Juma Mohd Juma akitoa maelezo ya historia ya kipindupindu duniani na hatimae kuingia Zanzibar katika miaka ya 1976 na kurejea kila baada ya kipindi.
Mwandishi wa habari wa Redio Coconut Tabia Makame akitoa mchango katika mafunzo ya waandishi wa habari ulioandaliwa na Idara ya Kinga na Elimu ya Afya kuhusu maradhi ya kipindupindu.
Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya Halima Ali Khamis akieleza malengo ya Wizara ya Afya katika kukabiliana na maradhi ya kipindupindu ili kuhakikisha yanaondoka Zanzibar.
Daktari dhamana Wilaya ya Mjini Ramadhani Mikidadi Suleiman akieleza dalili za maradhi ya kipindupindu Zanzibar na dalili zake katika hatua za awali katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa RCH.
Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Hassan Vuai akifunga mafunzo ya waandishi wa habari kuhusu maradhi ya kipindupindu katika ukumbi wa RCH Kidongochekundu.
Hivyo makala Habari : Waandishi Wapewa Semina
yaani makala yote Habari : Waandishi Wapewa Semina Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Habari : Waandishi Wapewa Semina mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/habari-waandishi-wapewa-semina.html
0 Response to "Habari : Waandishi Wapewa Semina"
Post a Comment