title : BAADA YA KUTOLEWA NA TIMU YA DARAJA LA KWANZA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP,SIMBA WAVUNJA KAMBI RASMI
kiungo : BAADA YA KUTOLEWA NA TIMU YA DARAJA LA KWANZA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP,SIMBA WAVUNJA KAMBI RASMI
BAADA YA KUTOLEWA NA TIMU YA DARAJA LA KWANZA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP,SIMBA WAVUNJA KAMBI RASMI
MwambawahabariBaada ya kuondoshwa kwenye michuano ya SportPesa na timu ya daraaja la kwanza inayoshiriki nchini Kenya ,uongozi wa timu ya Simba umevunja kambi rasmi na kuamua kuwapa mapumziko wachezaji kabla ya kurejea kwa mara nyingine kujiwinda na msimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania bara.
Makamu wa rais wa Simba,Geofrey Nyange Kaburu amesema kuwa mapumziko hayo hayawatahusu viongozi kwani kwa upande wao bado wanaendelea na mchakato wa usajili na maswala mbalimbali yanayohusiana na klabu.
Kaburu alisema kwamba kwa sasa uongozi ushafanikiwa kukamilisha usajili wa wachezaji wawili ambao ni Jamali Mwambeleko kutoka timu ya Mbao FC pamoja na Yusuf Mlipili toka Toto African iliyoshuka daraja ambao jana walionekana kwenye kikosi cha Simba kilichocheza dhidi ya timu ya Nakuru All Stars.
Alisema kwamba hata swala la mchezaji Emanuel Okwi kama lipo kwenye mapendekezo ya mwalimu basi uongozi utalifanyia kazi kupitia kamati yake ya usajili inayongozwa na Zakaria Hans Pope.
Hivyo makala BAADA YA KUTOLEWA NA TIMU YA DARAJA LA KWANZA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP,SIMBA WAVUNJA KAMBI RASMI
yaani makala yote BAADA YA KUTOLEWA NA TIMU YA DARAJA LA KWANZA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP,SIMBA WAVUNJA KAMBI RASMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BAADA YA KUTOLEWA NA TIMU YA DARAJA LA KWANZA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP,SIMBA WAVUNJA KAMBI RASMI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/baada-ya-kutolewa-na-timu-ya-daraja-la.html
0 Response to "BAADA YA KUTOLEWA NA TIMU YA DARAJA LA KWANZA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP,SIMBA WAVUNJA KAMBI RASMI"
Post a Comment