title : ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU
kiungo : ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU
ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU
Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Fabrizio Colombo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa Tamasha la Filamu za nchi za Majahazi leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mtaalam wa Habari na Masoko wa ZIFF, Bi. Lara Presdon na Meneja wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Daniel Nyalusi.
Mtaalam wa Habari na Masoko wa ZIFF, Bi. Lara Presdon akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa Tamasha la Filamu za nchi za Majahazi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Fabrizio Colombo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Emerson’s Zanzibar Foundation, Said ELG akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Tuzo ya Filamu itakayotolewa na taasisi yake katika Tamasha la Filamu za nchi za Majahazi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Fabrizio Colombo.
Baadhi ya waamdishi wa habari wakifuatilia mkutano wa waandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) leo jijini Dar es Salaam. Picha na: Frank Shija – MAELEZO
Hivyo makala ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU
yaani makala yote ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/ziff-kuboresha-soko-la-filamu.html
0 Response to "ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU"
Post a Comment