WIZARA YAAGIZA KUKAMATWA ALIYEMCHOMA MOTO MTOTO MKOANI GEITA

WIZARA YAAGIZA KUKAMATWA ALIYEMCHOMA MOTO MTOTO MKOANI GEITA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YAAGIZA KUKAMATWA ALIYEMCHOMA MOTO MTOTO MKOANI GEITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YAAGIZA KUKAMATWA ALIYEMCHOMA MOTO MTOTO MKOANI GEITA
kiungo : WIZARA YAAGIZA KUKAMATWA ALIYEMCHOMA MOTO MTOTO MKOANI GEITA

soma pia


WIZARA YAAGIZA KUKAMATWA ALIYEMCHOMA MOTO MTOTO MKOANI GEITA

Mwambawahabari

index
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imelaani vikali kitendo cha mtoto wa miaka mitatu (jina limehifadhiwa), mkazi wa kata ya Rudete mkoani Geita, aliyeelezwa kwamba amejeruhiwa na mama wa kambo kwa kuchomwa moto mwilini akituhumiwa kuiba chakula alichobakiziwa baba yake.

Wizara imesikitishwa na tukio hili maana linakinzana na kaulimbiu ya Madhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Familia kwa mwaka 2017, ambayo pamoja na mambo mengine,  inasisitiza wazazi na walezi, kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao wa kuimarisha malezi kwa ajili ya ustawi wa watoto katika familia na jamii kwa ujmla.
Katika kutekeleza utoaji wa haki za Mtoto na ustawi wake, wadau wote wanaotoa huduma kwa mtoto wanasisitizwa kusimamia upatikanaji wa haki zote za msingi katika familia na jamii, ikiwemo haki ya kuishi, kulindwa, kuendelezwa, kushirikishwa na kutobaguliwa.
Wizara inawaomba wananchi kote nchini kutoa ushirikiano katika kuwafichua wanaotenda vitendo vya unyanyasaji dhidi ya watoto kwa kutoa taarifa kwenye mamlaka husika, ili kuhakikisha wahusika wa vitendo vya ukatili wanachukuliwa hatua.
Napenda kutoa maelekezo kwa Maafisa Maendeleo, Ustawi wa Jamii wa kuhakikisha kuwa mtoto huyo anapatiwa huduma ya matibabu haraka ili kumrejesha katika afya njema.
Kwa vile, jukumu la ulinzi na usalama wa mtoto linatekelezwa kwa ushirikiano mkubwa wa Polisi, tunaamini kuwa suala hili linatafuatiliwa kuhakisha kuwa watuhumiwa wa vitendo hivi vya ukatili na unyanyasaji dhidi ya huyo mtoto mdogo wanapatikana. 
Azma ya Wizara yenye dhamana ya Watoto, ni kuhakikisha kuwa familia zinaendelea kuwa kitovu cha upatikanji wa haki, ustawi na maendeleo kwa maslahi ya watoto wetu.


Hivyo makala WIZARA YAAGIZA KUKAMATWA ALIYEMCHOMA MOTO MTOTO MKOANI GEITA

yaani makala yote WIZARA YAAGIZA KUKAMATWA ALIYEMCHOMA MOTO MTOTO MKOANI GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YAAGIZA KUKAMATWA ALIYEMCHOMA MOTO MTOTO MKOANI GEITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wizara-yaagiza-kukamatwa-aliyemchoma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIZARA YAAGIZA KUKAMATWA ALIYEMCHOMA MOTO MTOTO MKOANI GEITA"

Post a Comment