Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen

Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen
kiungo : Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen

soma pia


Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen


unnamed
Umoja wa watanzania Ujerumani UTU e.V watingisha jiji la Essen nchini Ujerumani baada ya kufanya mkutano mkuu kwa mujibu wa katiba  ulioandamana na sherehe za ushindi wa viongozi wapya. Hapo jijini Essen katika ukumbi wa Bob’s Cafe, watanzania zaidi ya 75 ambao wanaishi nchini humo walihudhuria mkutano huo ili kutimiza haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi wao, katika safu ya uongozi mpya Mhe Mfundo Peter Mfundo alichaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa umoja huo baada ya kukosa mpinzani. Makamo mwenyekiti mpya ni Mhe Salim Malumbo Jr. Katibu mkuu ni Julieth Myn, muweka Hazina ni Bi Nashe Mvungi, Mkaguzi wa mahesabu  namba 1 ni Mhe Bi Jovither Mushashu, Mkaguzi wa mahesabu namba 2 ni mhe Bi. Lilian Sorogo. Mjumbe namba Moja ni  Mhe Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja na Mjumbe namba 2 ni Mhe Vanessa Lymo. 

pamoja na mengi yalioongelewa kwenye mkutano huo azma ya  umoja wa watanzania Ujerumani UTU e.V ni kuwaendeleza watanzaniawanaoishi hapa ujerumani na hata kuwaletea maendeleo watanzania wanaoisho Tanzania, umoja ni Nguvu na utengano ni Udhaifu


Hivyo makala Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen

yaani makala yote Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mkutano-mkuu-wa-umoja-wa-watanzania_17.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen"

Post a Comment