WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO

 
Waziri Mkuu  Kassim  Majaliwa  akisalimiana na  Makamu  wa Rais Mama Samia  Suluhu walipokuwa  katika  Sherehe za  Mei  Mosi  zilizofanyika kitaifa mkoani  Kilimanjaro leo 01/5/ 2017  Katika viwanja  vya  Chuo  cha Ushirika  Mkoani  Kilimanjaro.

 Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa  akisalimiana na Mwenyekiti  Mtendaji  wa  IPP.  Dr  Reginali Mengi  walipokuwa  katika  Sherehe za  Mei  Mosi  zilizofanyika  Kitaifa Mkoani  Kilimanjaro leo 01/5/ 2017 katika viwanja  vya Chuo cha Ushirika  mkoani Kilimanjaro.


  Baadhi ya  Wabunge wakiwa  pamoja na watumishi  wa Serikali  katika Sherehe za Mei  Mosi  zilizofanyika  kitaifa mkoani  Kilimanjaro  leo katika viwanja vya Chuo  cha Ushirika  Mkoani  Kilimanjaro
Wafanyakazi wa Kiwanda Chakutengenza  Sukari  (TPC)  Wakipita Kwa maandamo mbele ya mgeni Rasimi Rais Dr John Magufuli  ikiwa ni ishara ya  kusheherekea  Maadhimisho ya Sikukuu ya wafanyakazi  Duniani  ambapo Tanzania Kitaifa  yamefanyika  mkoani  Kilimanjaro   

PICHA  NA  PMO


Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-ashiriki_1.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO"

Post a Comment