Wakazi wa Kata ya Buzuruga Jijini Mwanza Wafanya Usafi Kituo Cha Afya Kata Hiyo.

Wakazi wa Kata ya Buzuruga Jijini Mwanza Wafanya Usafi Kituo Cha Afya Kata Hiyo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wakazi wa Kata ya Buzuruga Jijini Mwanza Wafanya Usafi Kituo Cha Afya Kata Hiyo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wakazi wa Kata ya Buzuruga Jijini Mwanza Wafanya Usafi Kituo Cha Afya Kata Hiyo.
kiungo : Wakazi wa Kata ya Buzuruga Jijini Mwanza Wafanya Usafi Kituo Cha Afya Kata Hiyo.

soma pia


Wakazi wa Kata ya Buzuruga Jijini Mwanza Wafanya Usafi Kituo Cha Afya Kata Hiyo.

George Binagi-GB Pazzo
Diwani wa Kata ya Buzuruga Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, Richard Machemba, amewakutanisha pamoja wakazi wa Kata hiyo na kufanya usafi wa mazingira katika Kituo cha Afya Buzuruga ili kuondoa hatari ya vichaka kituoni hapo.

Akizungumza jana wakati wa zoezi hilo, Machemba alisema uamuzi huo ulifanyika ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani na kwamba hatua hiyo pia itasaidia kuondoa hatari za kimazingira ikiwemo magonjwa kituoni hapo.


Mwenyekiti wa Kamati ya Afya Kituo cha Afya Buzuruga, Daniel Buluya, alisema awali mazingira ya Kituo hicho hayakuwa salama hatua ambayo ilikuwa inahatarisha usalama wa wagonjwa na watumishi wa afya kituoni hapo.


Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani huadhimishwa kila mwaka Mei Mosi ili kutoa mwanya wkwa wafanyakazi pamoja na viongozi mbalimbali kutafakari changamaoto zinazowakabiri wafanyakazi na namna ya kuzitafutia ufumbuzi ambapo Kitaifa maadhimisho hayo yamefanyika Moshi mkoani Kilimanjaro huku kauli mbiu ikiwa ni "Katiba na Utawala, Vizingatie Haki na Maslahi ya Wafanyakazi".
Tazama Video hapo chini.


Hivyo makala Wakazi wa Kata ya Buzuruga Jijini Mwanza Wafanya Usafi Kituo Cha Afya Kata Hiyo.

yaani makala yote Wakazi wa Kata ya Buzuruga Jijini Mwanza Wafanya Usafi Kituo Cha Afya Kata Hiyo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wakazi wa Kata ya Buzuruga Jijini Mwanza Wafanya Usafi Kituo Cha Afya Kata Hiyo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wakazi-wa-kata-ya-buzuruga-jijini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wakazi wa Kata ya Buzuruga Jijini Mwanza Wafanya Usafi Kituo Cha Afya Kata Hiyo."

Post a Comment