title : PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZIARA YA DC MJEMA JIMBO LA UKONGA ILALA.
kiungo : PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZIARA YA DC MJEMA JIMBO LA UKONGA ILALA.
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZIARA YA DC MJEMA JIMBO LA UKONGA ILALA.
Mwamba wa habariMkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimpima uzito Mtoto katika zahanati ya Kitunda Jimbo la ukonga Manispaa ya Ilala katika ziara ya kuzungumza na wananchi, kutatua kero zao na kukagua miradi ya maendeleo.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na wananchi wa kata ya Kizinga Jimbo la ukonga Manispaa ya Ilala katika ziara ya kuzungumza na wananchi, kutatua kero zao na kukagua miradi ya maendeleo.
Diwani wa kata ya Kitunda (CHADEMA ) Nice Gisunte akibisha na askari marabaada ya amri ya kuamuliwa kukamatwa na kuwekwa ndani saa 48 kwa amri ya DC Mjema .
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiwa na madaktari wa zahanati ya Kitunda Jimbo la ukonga Manispaa ya Ilala katika ziara ya kuzungumza na wananchi, kutatua kero zao na kukagua miradi ya maendeleo.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akivuka daraja la miti lililojengwa na wananchi katka mto mzinga maeneo ya Magole Jimbo la ukonga Manispaa ya Ilala katika ziara ya kuzungumza na wananchi, kutatua kero zao na kukagua miradi ya maendeleo.
Afisa twala Wilaya ya Ilala Jbiri Makame akizunguza na wananchi nwa Mgole kabla ya DC Mjema kuanza kuzungumza na kusikiliza kero za wananchi.
Hivyo makala PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZIARA YA DC MJEMA JIMBO LA UKONGA ILALA.
yaani makala yote PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZIARA YA DC MJEMA JIMBO LA UKONGA ILALA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZIARA YA DC MJEMA JIMBO LA UKONGA ILALA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/picha-za-matukio-mbalimbali-ziara-ya-dc.html
0 Response to "PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZIARA YA DC MJEMA JIMBO LA UKONGA ILALA."
Post a Comment