Wafanyabiashara Wakabidhi Msaada wa Chakula Kwa Wananchi Waliuopata Maafa ya Upepo na Mvua za Masika.

Wafanyabiashara Wakabidhi Msaada wa Chakula Kwa Wananchi Waliuopata Maafa ya Upepo na Mvua za Masika. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wafanyabiashara Wakabidhi Msaada wa Chakula Kwa Wananchi Waliuopata Maafa ya Upepo na Mvua za Masika., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wafanyabiashara Wakabidhi Msaada wa Chakula Kwa Wananchi Waliuopata Maafa ya Upepo na Mvua za Masika.
kiungo : Wafanyabiashara Wakabidhi Msaada wa Chakula Kwa Wananchi Waliuopata Maafa ya Upepo na Mvua za Masika.

soma pia


Wafanyabiashara Wakabidhi Msaada wa Chakula Kwa Wananchi Waliuopata Maafa ya Upepo na Mvua za Masika.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akipokea fedha taslimu za Kitanzanuia Shilingi Millioni kumi kutoka kwa Mwakilishi wa kuteuliwa na Rais na Mfanyabishara Mhe,Ahmada Yahya Abdulwakil   katika hafla ya Msaada wa Chakula kwa waathirika na maafa ya Mvua za Masika na upepo mkali uliotokea hivi karibuni vilivyotolewa leo na Wafanyabiashara mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,(wa pili kulia) Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akipokea msaada wa Chakula kutoka kwa Hassan Mohamed Raza kwa waathirika na maafa ya Mvua za Masika na upepo mkali uliotokea hivi karibuni,chakula hivyo vikiwemo Unga wa Ngano,Mafuta,Mchele na Sukari, vilivyotolewa leo na Wafanyabiashara mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar (wa pili kulia) Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi na (kushoto) Mfanyabiashara Said Bophar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akizungumza na wafanyabishara katika hafla ya Msaada wa Chakula kwa waathirika na maafa ya Mvua za Masika na upepo mkali uliotokea hivi karibuni, vilivyotolewa na Wafanyabiashara mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar leo,(wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na wafanyabishara mbali mbakli katika hafla ya kukabidhi Msaada wa Chakula kwa waathirika na maafa ya Mvua za Masika na upepo mkali uliotokea hivi karibuni,mazungumzo hayo yalifanyika leo  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Waandishi wa habari na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kukabidhi ya Msaada wa Chakula kwa waathirika na maafa ya Mvua za Masika na upepo mkali uliotokea hivi karibuni, vilivyotolewa leo na Wafanyabiashara mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.


Hivyo makala Wafanyabiashara Wakabidhi Msaada wa Chakula Kwa Wananchi Waliuopata Maafa ya Upepo na Mvua za Masika.

yaani makala yote Wafanyabiashara Wakabidhi Msaada wa Chakula Kwa Wananchi Waliuopata Maafa ya Upepo na Mvua za Masika. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyabiashara Wakabidhi Msaada wa Chakula Kwa Wananchi Waliuopata Maafa ya Upepo na Mvua za Masika. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wafanyabiashara-wakabidhi-msaada-wa_20.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wafanyabiashara Wakabidhi Msaada wa Chakula Kwa Wananchi Waliuopata Maafa ya Upepo na Mvua za Masika."

Post a Comment