UMMY MWALIMI:NIMARUFUKU MARI YA CHAMJO KUTUMIKA NJE YA MAKUSUDIO YAKE.

UMMY MWALIMI:NIMARUFUKU MARI YA CHAMJO KUTUMIKA NJE YA MAKUSUDIO YAKE. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UMMY MWALIMI:NIMARUFUKU MARI YA CHAMJO KUTUMIKA NJE YA MAKUSUDIO YAKE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UMMY MWALIMI:NIMARUFUKU MARI YA CHAMJO KUTUMIKA NJE YA MAKUSUDIO YAKE.
kiungo : UMMY MWALIMI:NIMARUFUKU MARI YA CHAMJO KUTUMIKA NJE YA MAKUSUDIO YAKE.

soma pia


UMMY MWALIMI:NIMARUFUKU MARI YA CHAMJO KUTUMIKA NJE YA MAKUSUDIO YAKE.

Mwambawahabari
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amepiga marufuku magari ya chanjo kutumika tofauti na shughuli iliyokusudiwa.

Waziri Ummy Mwalimu ametoa kauli hiyo leo Bungeni Mkoani Dodoma baada ya Mbunge wa Mvomero Sadiki Morad kulalamikia uchakavu wa magari wa Halmashauri ya Mvomero na kupelekea magari ya chanjo kutumika kukusanyia mapato.

Waziri Ummy Mwalimu amesisitiza kuwa watayaandika magari yote ya chanjo kwa herufi kubwa na yasitumike kwa matumizi mengine yeyote.

"Chanjo ni muhimu kuliko mambo mengine katika Halmashauri" Alisisitiza Waziri Ummy Mwalimu.

"Ni Marufuku Halmashauri ya Mvomero kutumia gari ya chanjo kwa ajili ya kukusanyia mapato" Alieleza Waziri Ummy Mwalimu ambapo ameongeza kuwa agizo hilo ni kwa Halmashauri zote nchini.


Hivyo makala UMMY MWALIMI:NIMARUFUKU MARI YA CHAMJO KUTUMIKA NJE YA MAKUSUDIO YAKE.

yaani makala yote UMMY MWALIMI:NIMARUFUKU MARI YA CHAMJO KUTUMIKA NJE YA MAKUSUDIO YAKE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UMMY MWALIMI:NIMARUFUKU MARI YA CHAMJO KUTUMIKA NJE YA MAKUSUDIO YAKE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/ummy-mwaliminimarufuku-mari-ya-chamjo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UMMY MWALIMI:NIMARUFUKU MARI YA CHAMJO KUTUMIKA NJE YA MAKUSUDIO YAKE."

Post a Comment