MAFANIKIO MAKUBWA YAMEPATIKANA KUPITIA JPC, BALOZI MWINYI

MAFANIKIO MAKUBWA YAMEPATIKANA KUPITIA JPC, BALOZI MWINYI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAFANIKIO MAKUBWA YAMEPATIKANA KUPITIA JPC, BALOZI MWINYI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAFANIKIO MAKUBWA YAMEPATIKANA KUPITIA JPC, BALOZI MWINYI
kiungo : MAFANIKIO MAKUBWA YAMEPATIKANA KUPITIA JPC, BALOZI MWINYI

soma pia


MAFANIKIO MAKUBWA YAMEPATIKANA KUPITIA JPC, BALOZI MWINYI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Mwinyi akisoma hotuba ya ufunguzi ya Mkutano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Uganda kwa ngazi ya Makatibu Wakuu. Katika hotuba hiyo, Balozi Mwinyi alieleza kuwa tokea JPC kati ya Tanzania na Uganda ilipoanzishwa mafanikio makubwa yamepatikana. Mafanikio hayo ni pamoja na kusainiwa kwa mikataba ya makubaliano mbalimbali ikiwemo mkataba wa kushirikiana katika ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme cha Kikagati/Murongo na makataba wa kushirikiana katika usafiri wa anga ambapo Tanzania inakusudia kuanza safari za moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam kwenda Kampala hivi karibuni. 
Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia kwa makini hotuba ya Balozi Mwinyi 
Ujumbe wa Uganda ukifuatilia hotuba za ufunguzi zilizokuwa zinasomwa na Makatibu Wakuu wa Wizara za Mambo ya Nje za Tanzania na Uganda. 
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Mwinyi akiongea na mwenyeji wake, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda, Balozi Patrick Mugoya kabla ya viongozi hao hawajafungua rasmi mkutano wa JPC kwa ngazi ya Makatibu Wakuu. 
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Salvator Mbilinyi akibadilishana mawazo na Balozi wa Uganda nchini Uingereza, Mhe. Leonard Mugerwa nje ya ukumbi wa mikutano. 


Hivyo makala MAFANIKIO MAKUBWA YAMEPATIKANA KUPITIA JPC, BALOZI MWINYI

yaani makala yote MAFANIKIO MAKUBWA YAMEPATIKANA KUPITIA JPC, BALOZI MWINYI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAFANIKIO MAKUBWA YAMEPATIKANA KUPITIA JPC, BALOZI MWINYI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mafanikio-makubwa-yamepatikana-kupitia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAFANIKIO MAKUBWA YAMEPATIKANA KUPITIA JPC, BALOZI MWINYI"

Post a Comment