Uamuzi wa Rais Magufuli kuhusu wafanyakazi 9 wa TBC waliotangaza habari ya UONGO Kuwa amepongezwa na Rais Trump

Uamuzi wa Rais Magufuli kuhusu wafanyakazi 9 wa TBC waliotangaza habari ya UONGO Kuwa amepongezwa na Rais Trump - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uamuzi wa Rais Magufuli kuhusu wafanyakazi 9 wa TBC waliotangaza habari ya UONGO Kuwa amepongezwa na Rais Trump, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uamuzi wa Rais Magufuli kuhusu wafanyakazi 9 wa TBC waliotangaza habari ya UONGO Kuwa amepongezwa na Rais Trump
kiungo : Uamuzi wa Rais Magufuli kuhusu wafanyakazi 9 wa TBC waliotangaza habari ya UONGO Kuwa amepongezwa na Rais Trump

soma pia


Uamuzi wa Rais Magufuli kuhusu wafanyakazi 9 wa TBC waliotangaza habari ya UONGO Kuwa amepongezwa na Rais Trump

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewasamehe wafanyakazi tisa wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) waliokuwa wamesimamishwa kazi kwa kosa la kurusha habari ya uongo kumhusu kiongozi huyo wa nchi.

Wafanyakazi hao walisamishwa kazi mwezi Machi kwa kuhusika katika makosa ya kiweledi na kiuhariri yaliyosababisha kutangazwa kwa taarifa ambayo haikuwa sahihi Machi 03, 2017.

Wafanyakazi hao walirusha hewani taarifa ya uongo iliyosambazwa na mtandao wa Fox Channel.com kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amesifu utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli na kwamba ni mfano mzuri wa kuigwa Afrika.

Taarifa iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dk. Ayub Rioba, ilieleza kuwa makosa hayo yalileta usumbufu kwa umma na yasingefanyika endapo taratibu zote za kitaalamu zingefuatwa kuthibitisha ukweli wa taarifa yenyewe.

Watangazaji waliotangaziwa msahama huo ni Rais Dkt Magufu ni pamoja na Gabriel Zackaria, Elizabeth Mramba, Prudence Constantine, Dorothy Mmari, Ramadhani Mpenda, Leya Mushi, Alpha Wawa, Chunga Ruza na Judica Losai. 

Rais Dkt Magufuli alitoa msamaha huo alipofanya ziara katika kituo hicho jana ili kuangalia utendaji kazi pamoja na kuzungumza na wafanyakazi kuweza kutambua changamoto zinazowakabili.


Hivyo makala Uamuzi wa Rais Magufuli kuhusu wafanyakazi 9 wa TBC waliotangaza habari ya UONGO Kuwa amepongezwa na Rais Trump

yaani makala yote Uamuzi wa Rais Magufuli kuhusu wafanyakazi 9 wa TBC waliotangaza habari ya UONGO Kuwa amepongezwa na Rais Trump Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uamuzi wa Rais Magufuli kuhusu wafanyakazi 9 wa TBC waliotangaza habari ya UONGO Kuwa amepongezwa na Rais Trump mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/uamuzi-wa-rais-magufuli-kuhusu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Uamuzi wa Rais Magufuli kuhusu wafanyakazi 9 wa TBC waliotangaza habari ya UONGO Kuwa amepongezwa na Rais Trump"

Post a Comment