TIMU YA WATAALAM YAAGIZA KUANDA RIPOTI YA KUMALIZA MGOGORO WA BWAWA LA ULUWA WILAYANI SIKONGE.

TIMU YA WATAALAM YAAGIZA KUANDA RIPOTI YA KUMALIZA MGOGORO WA BWAWA LA ULUWA WILAYANI SIKONGE. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIMU YA WATAALAM YAAGIZA KUANDA RIPOTI YA KUMALIZA MGOGORO WA BWAWA LA ULUWA WILAYANI SIKONGE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIMU YA WATAALAM YAAGIZA KUANDA RIPOTI YA KUMALIZA MGOGORO WA BWAWA LA ULUWA WILAYANI SIKONGE.
kiungo : TIMU YA WATAALAM YAAGIZA KUANDA RIPOTI YA KUMALIZA MGOGORO WA BWAWA LA ULUWA WILAYANI SIKONGE.

soma pia


TIMU YA WATAALAM YAAGIZA KUANDA RIPOTI YA KUMALIZA MGOGORO WA BWAWA LA ULUWA WILAYANI SIKONGE.


Na Tiganya Vincent, Sikonge 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe ameteua timu ya Maafisa watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge kwa ajili ya kuandaa taarifa(ripoti) itakayowasilishwa kwake Jumatano(wiki inayoanza kesho) ili imwezeshe kutoa maamuzi yatakaondoa kuondoa mgogoro uliosababisha ujenzi Mradi wa Bwawa la Umwagiliaji la Uluwa ushindwe kuendelea kwa sababu ya maji yake kuelekezwa katika Msitu wa Hifadhi wa Ipembampazi. 

Hatua hiyo itasaidia kuokoa zaidi ya shilingi milioni 313 ambazo hadi hivi sasa zimeshatumika katika ujenzi wa mradi huo ambao ni kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji wa mpunga katika vijiji viwili vya Mtakuja na Kiloleni kama mradi utaendelea. Profesa Maghembe alichukua uamuzi huyo jana wilayani Sikonge baada ya kutembelea Mradi huo huku akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanri ili kujionea hatua ulipokuwa umefikia na hiyo mifereji ilijengwa kuelekea katika Msitu wa Hifadhi. 

Alistaja wataalam hao kuwa ni Ofisa wa Maliasili, Misitu, Kilimo na Mhandisi wa Maji, Mhandishi wa Ujenzi kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mteandaji wa Halmashauri ya Sikonge ambao aliwapa jukumu la kuandaa taarifa itakayoonyesha mambo mbalimbali ikiwemo kupima na kuonyesha kiasi cha eneo ambalo wananchi wanalohitaji kwa ajili ya kilimo hicho na eneo lilobaki katika Msitu huo wa Hifadhi. 

Profesa Maghembe aliwaambia kuwa uharaka na ubora wa ripoti ya Halmashauri ndio utakaoisaidi Wizara ya Maliasili na Utalii kufikia maamuzi haraka ambayo baada ya wataalam wake kuipitia atawalisha mapendekezo na hatua waliofikia kwa Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya hatua zaidi. 

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe
 


Hivyo makala TIMU YA WATAALAM YAAGIZA KUANDA RIPOTI YA KUMALIZA MGOGORO WA BWAWA LA ULUWA WILAYANI SIKONGE.

yaani makala yote TIMU YA WATAALAM YAAGIZA KUANDA RIPOTI YA KUMALIZA MGOGORO WA BWAWA LA ULUWA WILAYANI SIKONGE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIMU YA WATAALAM YAAGIZA KUANDA RIPOTI YA KUMALIZA MGOGORO WA BWAWA LA ULUWA WILAYANI SIKONGE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/timu-ya-wataalam-yaagiza-kuanda-ripoti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TIMU YA WATAALAM YAAGIZA KUANDA RIPOTI YA KUMALIZA MGOGORO WA BWAWA LA ULUWA WILAYANI SIKONGE."

Post a Comment