NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO

NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO
kiungo : NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO

soma pia


NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO

NAHODHA wa Mabingwa wa kombe la Shirikisho na Kiungo wa timu hiyo, Jonas Mkude ni miongoni mwa watu waliojeruhiwa katika ajali ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo ilipotokea ajali hiyo, Dumila katika shamba la Mitiki, zinaarifu kuwa kuna watu wawili ambao bado majina yao hajapatikana wameumia na Mkude kupata majeraha madogo na kupelekwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa matibabu zaidi.

 Watu hao walikuwa katika gari aina ya Toyota VX lenye namba za Usajili T 834BLZ na walikuwa wakitokea Dodoma kushuhudia fainali za kombe la Shirikisho la Soka Tanzania uliopigwa jana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma uliozikutanisha Simba na Mbao.

Simba ilishinda mchezo huo kwa bao 2-1 na kutwaa ubingwa huo na kujipatoia tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Chanzo: Daily News Blog



Hivyo makala NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO

yaani makala yote NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/nahodha-wa-simba-jonas-mkude-anusurika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO"

Post a Comment