DK.MWAKYEMBE AWATEMBELEA NAFASI ART SPACE,AWAPONGEZA KWA KUTIMIZA MIAKA 10

DK.MWAKYEMBE AWATEMBELEA NAFASI ART SPACE,AWAPONGEZA KWA KUTIMIZA MIAKA 10 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.MWAKYEMBE AWATEMBELEA NAFASI ART SPACE,AWAPONGEZA KWA KUTIMIZA MIAKA 10, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.MWAKYEMBE AWATEMBELEA NAFASI ART SPACE,AWAPONGEZA KWA KUTIMIZA MIAKA 10
kiungo : DK.MWAKYEMBE AWATEMBELEA NAFASI ART SPACE,AWAPONGEZA KWA KUTIMIZA MIAKA 10

soma pia


DK.MWAKYEMBE AWATEMBELEA NAFASI ART SPACE,AWAPONGEZA KWA KUTIMIZA MIAKA 10

 Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

WAZIRI wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo Dk.Harrson Mwakyembe amewapongeza Nafasi Art Space kwa kutimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake huku akielezea namna ambavyo wamekuwa wadau muhimu katika kukuza na kuendeleza sanaa za aina mbalimbali nchini.

Dk.Mwakyembe amewatembelea Nafasi Art Space katika ofisi zao zilizopo Mikochen B jijini Dar es Salaam akiwa ameambatana na Katibu Mtendaji ww Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) Godfrey Mngereza pamoja na viongozi wengine wa ngazi mbalimbali wakiwamo pia wa TAFCA.

Akiwa hapo Dk.Mwakyembe alipata nafasi ya kuelezwa historia ya Nafasi Art Space, mipango na mikakati ndani miaka 10 ya mwanzo.Mchoraji mahiri ambaye pia ni Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mmoja ya wajumbe wa bodi na mwalinzi wa Nafasi Art Space Profesa Elias Jengo, alitumia nafasi hiyo kueleza mafanikio ya uwepo wao.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Nafasi, Rebecca amemueleza Waziri Mwakyembe kuwa Nafasi Art Space imefanikiwa kuipeleka mbele sanaa ya Tanzania na mkakati wao ni kuendelea zaidi ya hapo."Mkakati na malengo yetu ni kuipeleka sanaa mbele zaidi na kuongeza fursa na vipato vya wasanii kupitia sanaa," amesema.

Pia amezungumzia namna ambavyo wasanii wananufaika kwa studio za kufanyia kazi, mafunzo mbalimbali, nafasi ya kukutana na wasanii wenzao kupitia Nafasi Art Space.Pia fursa ya kukutana na wapenzi wa sanaa wanaoweza kuthamini kazi zao.Kuhusu mambo ambayo yamefanyika katika kuadhimisha miaka 10 ,Rebecca amesema Septemba mwaka huu wameshiriki shughuli mbalimbali za kijamii.



Waziri wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo Dk.Harson Mwakyembe akiangalia moja ya kazi ya uchongaji vinyago iliyofanywa na wasanii waliopo Nafaso Art Space baada ya kuwatembelea kwa lengo la kuwapongeza kwa kutimiza miaka 10.



Hivyo makala DK.MWAKYEMBE AWATEMBELEA NAFASI ART SPACE,AWAPONGEZA KWA KUTIMIZA MIAKA 10

yaani makala yote DK.MWAKYEMBE AWATEMBELEA NAFASI ART SPACE,AWAPONGEZA KWA KUTIMIZA MIAKA 10 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.MWAKYEMBE AWATEMBELEA NAFASI ART SPACE,AWAPONGEZA KWA KUTIMIZA MIAKA 10 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/dkmwakyembe-awatembelea-nafasi-art.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.MWAKYEMBE AWATEMBELEA NAFASI ART SPACE,AWAPONGEZA KWA KUTIMIZA MIAKA 10"

Post a Comment