Tarehe ya Kuaza Kwa Mkutano wa Kimataifa wa OYES 2017 Yajulikana.

Tarehe ya Kuaza Kwa Mkutano wa Kimataifa wa OYES 2017 Yajulikana. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tarehe ya Kuaza Kwa Mkutano wa Kimataifa wa OYES 2017 Yajulikana., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tarehe ya Kuaza Kwa Mkutano wa Kimataifa wa OYES 2017 Yajulikana.
kiungo : Tarehe ya Kuaza Kwa Mkutano wa Kimataifa wa OYES 2017 Yajulikana.

soma pia


Tarehe ya Kuaza Kwa Mkutano wa Kimataifa wa OYES 2017 Yajulikana.

Tarehe rasmi ya kuanza kwa mkutano mkubwa wa kitaifa na kimataifa wa OYES (Open your Eyes and See) 2017 unaoandaliwa kila mwaka na kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza imejulikana.

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo, Dkt.Daniel Moses Kulola, amebainisha kwamba mkutano huo utaanza jumamosi Mei 27 na kufikia tamati jumapili Juni 04, 2017 katika viunga vya kanisa hilo vilivyopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Jijini Mwanza.

Kupitia BMG Habari, Dkt.Kulola amebainisha kwamba waimbaji na watumishi wa Mungu kutoka ndani na nje ya nchi akiwemo Mchungaji Gary White kutoka Amerika watahudumu katika mkutano huo.

Mafundisho pamoja na mahubiri ya neno la Mungu yaliyolenga kumfungua kila mmoja ili aone Ukuu wa Mungu yatafundishwa katika mkutano huo na kama ilivyo kawaida mamia ya wananchi wanatarajiwa kufunguliwa kwenye mkutano wa OYES 2017.


Hivyo makala Tarehe ya Kuaza Kwa Mkutano wa Kimataifa wa OYES 2017 Yajulikana.

yaani makala yote Tarehe ya Kuaza Kwa Mkutano wa Kimataifa wa OYES 2017 Yajulikana. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tarehe ya Kuaza Kwa Mkutano wa Kimataifa wa OYES 2017 Yajulikana. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/tarehe-ya-kuaza-kwa-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tarehe ya Kuaza Kwa Mkutano wa Kimataifa wa OYES 2017 Yajulikana."

Post a Comment