title : NBS YAWATAKA WATOA TAKWIMU WANGATIE TARATIBU KUEPUSHA UPOTOSHAJI
kiungo : NBS YAWATAKA WATOA TAKWIMU WANGATIE TARATIBU KUEPUSHA UPOTOSHAJI
NBS YAWATAKA WATOA TAKWIMU WANGATIE TARATIBU KUEPUSHA UPOTOSHAJI
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa Ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa
Na Agness Moshi – MAELEZO.
Ni jambo la kawaida katika miaka hii kuona takwimu za tafiti mbalimbali zikitolewa na Taasisi , Serikali , Mashirika au baadhi ya watu kwenye vyombo vya habari au mitandao ya kijamii ambayo kwa sasa imejizolea umarafu kutokana ongezeko la watumiaji wake Nchini.
Takwimu hizo zimekua zikitolewa kwa lengo la kutoa taarifa, kuelimisha au kusaidia katika kupanga mipango mbalimbali kwa maendeleo ya Taasisi, Shirika husika au Nchi kwa ujumla . Wakati mwingine zimekua zikiibua hisia za wananchi kutaka kujua zaidi kuhusiana na taarifa hizo hivyo kupelekea vyombo vya habari kufuatilia taarifa hizo kwa undani.
Si jambo la ajabu kuona taarifa za takwimu kwenye magazeti, televisheni, mitandao ya kijamii au kuzisikia kwenye redio. Mtakua mashahidi wangu kwenye hili. Lakini je, takwimu hizi tunazozisikia na kuziona zinafuata Sheria na taratibu za utoji takwimu?
Ni wazi kila kitu kina utaratibu na sheria zake, vivyo hivyo utoaji takwimu una sheria na taratibu zake kuanzia ukusanyaji data hadi uwasilishwaji wake kwa jamii au taasisi husika.
SOMA ZAIDI HAPA
SOMA ZAIDI HAPA
Hivyo makala NBS YAWATAKA WATOA TAKWIMU WANGATIE TARATIBU KUEPUSHA UPOTOSHAJI
yaani makala yote NBS YAWATAKA WATOA TAKWIMU WANGATIE TARATIBU KUEPUSHA UPOTOSHAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NBS YAWATAKA WATOA TAKWIMU WANGATIE TARATIBU KUEPUSHA UPOTOSHAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/nbs-yawataka-watoa-takwimu-wangatie.html
0 Response to "NBS YAWATAKA WATOA TAKWIMU WANGATIE TARATIBU KUEPUSHA UPOTOSHAJI"
Post a Comment