Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa.

Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa.
kiungo : Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa.

soma pia


Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa.





"Tanzania yazidi kupiga hatua katika Riadha, Sara Ramadhani amefuzu kushiriki Mashindano ya 2017 London World Athletics Championships kwa kukimbia masaa 2 dakika 33 sekunde 11 na kushika nafasi ya pili.




Naye Ismail Juma Gallet amekuwa wa kwanza Istanbul Half Marathon kwa kutumia muda mkali sana wa lisaa 1 na sekunde 9 (1:09).




Nilijua tutapiga hatua mbele, lakini mafanikio haya yanakuja vyema kuliko hata mategemeo yetu, ni furaha sana kuona juhudi zinafanikiwa japo kuwa bado changamoto zingine zipo." - Wilhelm Gidabuday, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT).


Hivyo makala Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa.

yaani makala yote Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/riadha-ismail-juma-na-sara-ramadhani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa."

Post a Comment