title : Ohoooo....!
kiungo : Ohoooo....!
Ohoooo....!
Ni Basi ama Daladala lenye nama za usajili T587 DGK likiondolewa kwenye mtaro mara baada ya kupoteza muelekeo mapema leo asubuhi maenEo ya Hospitali ya Massana,Goba jijini Dar.Kwa mujibu wa Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa hakuna aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa,watu wote walitoka salama,aidha chanzo cha basi hilo kupoteza muelekeo hakikujulikana mara moja.
Hivyo makala Ohoooo....!
yaani makala yote Ohoooo....! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ohoooo....! mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/ohoooo.html
0 Response to "Ohoooo....!"
Post a Comment