Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa

Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa
kiungo : Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa

soma pia


Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa


 Hili ni eneo liliopo mkabala na Mahakama Kuu Zanzibar ambalo limetolewa kibali na kuanza kujengwa. Inasadikiwa sehemu hii ilikuwa ni makaburi zamani
                     

Na Mkereketwa wa Mji Mkongwe

Kuna sheria Zanzibar inayozuia ujenzi katika maeneo yaliyowahi kuwa makaburi kuwa yabaki kuwa green/open spaces. 

Hili eneo lilikua na hadhi hiyo lakini ghafla limepewa kibali kujengwa katika mji huo huo mkongwe tunaombiwa kuna msongamano! 

Tena jengolenyewe lipo mkabala na Mahakama Kuu. 

Nani katoa kibali? Kwanini Mji Mkongwe hauna usimamizi maalum dhidi ya waliopewa dhamana? 


Hivyo makala Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa

yaani makala yote Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/eneo-linalosadikiwa-kuwa-na-makaburi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa"

Post a Comment