NSSF YATOA SEMINA KWA KIKUNDI CHA UMOJA WA MIRADI YA VIZIWI TANZANIA

NSSF YATOA SEMINA KWA KIKUNDI CHA UMOJA WA MIRADI YA VIZIWI TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NSSF YATOA SEMINA KWA KIKUNDI CHA UMOJA WA MIRADI YA VIZIWI TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NSSF YATOA SEMINA KWA KIKUNDI CHA UMOJA WA MIRADI YA VIZIWI TANZANIA
kiungo : NSSF YATOA SEMINA KWA KIKUNDI CHA UMOJA WA MIRADI YA VIZIWI TANZANIA

soma pia


NSSF YATOA SEMINA KWA KIKUNDI CHA UMOJA WA MIRADI YA VIZIWI TANZANIA

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limetoa semina juu ya umuhimu wa hifadhi ya jamii kwa wanacama wa kikundi cha Umoja wa Miradi ya Viziwi Tanzania UMIVITA.

Semina hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na shirika hilo ambapo ilihusisha wanachama wapatao mia mbili.

Akizungumza katika semina hiyo Ofisa Matekelezo Mkuu wa NSSF Mkoa wa Temeke, Nuhu Ramadhani alisema wanachama hao walipata fursa ya kuifahamuvizuri NSSF na kujua mafao yanayotolewa na shirika hilo yakiwemo pensheni ya uzeeni,pensheni ya ulemavu,pensheni ya urithi, msaada wa mazishi, mafao ya kuumia kazini, mafao ya uzazi na matibabu bure kwa mwananchama na wategemezi wake.

Aisha NSSF ilitoa fursa kwa Wanachama wa UMIVITA waliohudhuria semia hiyo kujiandikisha kuwa wanachama.
Ofisa Uhusiano na Masoko wa NSSF, Anna Nguzo, akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na NSSF wa ajili ya wanachama wa Kikundi cha Umoja wa Miradi kwa Viziwi Tanzania.

Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa NSSF Mkoa wa Temeke, Naphisa Jahazi, akizungumza wakati wa semina hiyo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Miradi kwa Viziwi (UMIVITA), Jamal Amiri akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na NSSF kwa ajili ya wanachama wa Kikundi cha Umoja wa Miradi kwa Viziwi Tanzania.
Wanasemina.



Hivyo makala NSSF YATOA SEMINA KWA KIKUNDI CHA UMOJA WA MIRADI YA VIZIWI TANZANIA

yaani makala yote NSSF YATOA SEMINA KWA KIKUNDI CHA UMOJA WA MIRADI YA VIZIWI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NSSF YATOA SEMINA KWA KIKUNDI CHA UMOJA WA MIRADI YA VIZIWI TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/nssf-yatoa-semina-kwa-kikundi-cha-umoja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NSSF YATOA SEMINA KWA KIKUNDI CHA UMOJA WA MIRADI YA VIZIWI TANZANIA"

Post a Comment