Rais Nkurunziza wa Burundu afanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Tanzania.

Rais Nkurunziza wa Burundu afanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Tanzania. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Nkurunziza wa Burundu afanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Tanzania., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Nkurunziza wa Burundu afanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Tanzania.
kiungo : Rais Nkurunziza wa Burundu afanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Tanzania.

soma pia


Rais Nkurunziza wa Burundu afanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Tanzania.

Rais
wa Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akiwasalimia wananchi wa Mji wa Ngara
kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Posta Mjini
Ngara 20 Julai 2017


Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Rais wa Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza mara baada ya Rais
wa Burundi kuwahutubia wananchi wa Mji wa Ngara kwenye Mkutano wa
hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Posta Mjini Ngara 20 Julai 2017.


Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mji wa Ngara kwenye Mkutano wa Hadhara
uliofanyika katika Uwanja wa Posta Mjini Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017.



Rais
wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akiwapungia wananchi
alipowasili katika viwanja vya Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai
20,2017

Rais
wa Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akikagua graride la lililoandaliwa na
jeshi la ulinzi la Tanzania JWTZ katika viwanja vya Lemela mjini Ngara
Mkoani Kagera Julai 20,2017.


Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
ujumbe wake katika mazungumzo maalum ya kiserikali na Rais wa Burundi
Mhe. Pierre Nkurunziza na ujumbe wake Mjini Ngara Mkoani Kagera 20 Julai
2017


Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa
Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza pamoja na mama Janeth Magufuli katika
Maongezi.


Hivyo makala Rais Nkurunziza wa Burundu afanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Tanzania.

yaani makala yote Rais Nkurunziza wa Burundu afanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Tanzania. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Nkurunziza wa Burundu afanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Tanzania. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-nkurunziza-wa-burundu-afanya-ziara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Nkurunziza wa Burundu afanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Tanzania."

Post a Comment