SPORTPESA NA EVERTON ZASHINDA TUZO ZA SPORTS INDUSTRY AWARDS

SPORTPESA NA EVERTON ZASHINDA TUZO ZA SPORTS INDUSTRY AWARDS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPORTPESA NA EVERTON ZASHINDA TUZO ZA SPORTS INDUSTRY AWARDS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPORTPESA NA EVERTON ZASHINDA TUZO ZA SPORTS INDUSTRY AWARDS
kiungo : SPORTPESA NA EVERTON ZASHINDA TUZO ZA SPORTS INDUSTRY AWARDS

soma pia


SPORTPESA NA EVERTON ZASHINDA TUZO ZA SPORTS INDUSTRY AWARDS

Kampuni ya michezo ya kubashiri SportPesa na Klabu ya mpira wa miguu ya Uingereza ya Everton zimezawadiwa zawadi kutokana na ushirikiano wao kwenye tuzo za Sports Industry Awards kwenye vipengele vya Best African Sponsorship na Pan-African Campaign of the year.

Kwenye udhamini huo ambao ulianza kwa klabu ya Everton kusafiri kwenda Dar es Salaam Julai 2017 kucheza na Mabingwa wa SportPesa Super Cup ambao walikuwa klabu ya Gor Mahia kutoka Kenya, umetambuliwa na kusherekewa kwa kuwaleta Everton wanaoshiriki ligi kuu ya Uingereza kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza.

Kutokana na mafanikio ya safari hiyo ambayo ilijulikana kama 'Everton in Tanzania' , ambayo pia ilileta hamasa kwenye michezo na kuipa ushindi wa tuzo hizo ambazo zilitangazwa Sandton Convention Centre jijini Johannesburg Ijumaa ya tarehe 17 Agosti 2018.

Mkuu wa Ushirikiano na Utawala wa klabu ya Everton Mark Rollings alisema "Tunayo furaha kuwa ushirikiano wetu na SportPesa umetambulika kwenye ngazi  muhimu ya Sports Industry Awards. Tuzo za Sports Industry Awards ndio tuzo zenye heshima kubwa Afrika Kusini kwa upande wa michezo na kwa hivyo kushinda tuzo zote mbili za Best African Sponsorship na Pan-African Campaign of  the Year ni udhibitisho wa kuendeleza ushirikiano wetu na SportPesa pamoja na wadau wake.
 Meneja masoko SportPesa South Afrika Gail Rodgers, Mkuu wa kitengo cha masoko SportPesa Kelvin Twissa, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Susan Mlawi, Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tanzania Tarimba Abbas na Mkuu wa kitengo ca Ushirikiano Everton Mark Rollings mara baada ya kukabidhiwa tuzo za Sport Industry Awards.
 Wawakilishi kutoka SportPesa Tanzania, Kenya, South Africa,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Tanzania, Timu ya Everton wakipokea tuzo mara baada ya kutangazwa kuwa washindi.
 Katibu wa wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Susan Mlawi akiwa na Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tanzania Tarimba Abbas  wakiwa na tuzo mbili za Sport Industry Awards ambazo kampuni ya SportPesa imeshinda kwenye vipengele vyote viwili.




Hivyo makala SPORTPESA NA EVERTON ZASHINDA TUZO ZA SPORTS INDUSTRY AWARDS

yaani makala yote SPORTPESA NA EVERTON ZASHINDA TUZO ZA SPORTS INDUSTRY AWARDS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPORTPESA NA EVERTON ZASHINDA TUZO ZA SPORTS INDUSTRY AWARDS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/sportpesa-na-everton-zashinda-tuzo-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SPORTPESA NA EVERTON ZASHINDA TUZO ZA SPORTS INDUSTRY AWARDS"

Post a Comment