IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA

IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA
kiungo : IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA

soma pia


IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza jambo mbele ya baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Manyara, wakati alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia), akifurahia jambo na Mkuu wa mkoa wa Manyara, Joel Bendera (Kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Babati, Raymond Mushi, wakati alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi wakati alipowasili mkoani Manyara, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akiwa ameongozana na kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, ACP Francis Jacob, wakati alipowasili mkoani Manyara, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.


Hivyo makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA

yaani makala yote IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/igp-sirro-afanya-ziara-mkoani-manyara.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI MANYARA"

Post a Comment