Rais wa Zanzibar Atembelea Maeneo Yalioathirika na Mvua na Kuwafariji Wananchi Waliopata Maafa Hayo Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar Atembelea Maeneo Yalioathirika na Mvua na Kuwafariji Wananchi Waliopata Maafa Hayo Kisiwani Pemba. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar Atembelea Maeneo Yalioathirika na Mvua na Kuwafariji Wananchi Waliopata Maafa Hayo Kisiwani Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar Atembelea Maeneo Yalioathirika na Mvua na Kuwafariji Wananchi Waliopata Maafa Hayo Kisiwani Pemba.
kiungo : Rais wa Zanzibar Atembelea Maeneo Yalioathirika na Mvua na Kuwafariji Wananchi Waliopata Maafa Hayo Kisiwani Pemba.

soma pia


Rais wa Zanzibar Atembelea Maeneo Yalioathirika na Mvua na Kuwafariji Wananchi Waliopata Maafa Hayo Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Mhe:Dk Ali Mohamed Shein, akikagua moja ya athari iliyotokea katika kijiji cha Mchanga wa Kwale baada ya maji ya Mvua kuwa mingi na kuifukia Mipunga

ya wananch

Mzee Mohammed Omar akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mpainduzi Mhe:Dk Ali Mohamed Shein, juu ya athari za mvua zilivyo ondosha kilimo cha wananchi wa Mchangwa wa Kwale
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Mhe:Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia atharai iliyopatikana katika daraja la Chamanangwe, kufuatia mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha na kuharibu sehemu ya daraja hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe:Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia athari za mvua zilizoathiri Miundombinu ya Barabara ya Njia Kongwe katika kijiji cha Mchangawa Kwale Wilaya ya Wilaya Chake Chake Pemba, katika ziara yake ya siku moja Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)


Hivyo makala Rais wa Zanzibar Atembelea Maeneo Yalioathirika na Mvua na Kuwafariji Wananchi Waliopata Maafa Hayo Kisiwani Pemba.

yaani makala yote Rais wa Zanzibar Atembelea Maeneo Yalioathirika na Mvua na Kuwafariji Wananchi Waliopata Maafa Hayo Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Atembelea Maeneo Yalioathirika na Mvua na Kuwafariji Wananchi Waliopata Maafa Hayo Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rais-wa-zanzibar-atembelea-maeneo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar Atembelea Maeneo Yalioathirika na Mvua na Kuwafariji Wananchi Waliopata Maafa Hayo Kisiwani Pemba."

Post a Comment